Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.

AmKATRINA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
882
Reaction score
2,044
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Aaaah wewe AmKATRINA usifikie huko aisee una ujuzi gani na una elimu gani?
 
Akupendaye yupo, haujaamua tu kumpenda mpaka unaandika hapa yeye anakupenda, tena anakupenda sana, ukikubali atakupa kazi na pesa

Isaya 43:4

[4]Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Acha mawazo
Tafadhari kukata tamaa ni dhambi sana
Tuliza akili wewe,familia inakutegemea hata kama huna kazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom