Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Namba mbili si uliomba ushauri wa kutumiia ile mil 50 sasa hivi tu imeisha????
Namba tatu usichague sana na usiweke malengo makubwa sana kwa vijana.... Tafuta maskini mwenzio muenjoy maisha usife kabla hujafaidi penzi la kimaskini!!!!!
Usijinenee mabaya.
 
Wewe Juzi ulisema mmeuza maeneo ya Familia una 50mil hujui ufanye nini
Screenshot_20250210-171554_Brave.jpg
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
WEWE NI MWANAMKE AU MWANAUME?
 
Mimi natesekaga nikifikia hatua uliyofikia nasema liwalo na liwe...nikishakata tamaa ndipo msaada unakuja tena kwa kuamuru kwa hasira.

Jifungie ndani pandisha hasira alafu amuru mema kwaajili yako siku chache mbeleni utaona milango ikifunguka yenyewe 🙏
 
Namba mbili si uliomba ushauri wa kutumiia ile mil 50 sasa hivi tu imeisha????
Namba tatu usichague sana na usiweke malengo makubwa sana kwa vijana.... Tafuta maskini mwenzio muenjoy maisha usife kabla hujafaidi penzi la kimaskini!!!!!
Usijinenee mabaya.
Haka kabinti sijui kamama au kakijana ni kaongo in short, kumaliza milion 50 ndani ya wiki moja ni uongo
Screenshot_20250210-171554_Brave.jpg
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
We jiue tu maisha ni magumu kote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom