Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Aisee huyu yupo kitambo sana toka 2012 walikuwepo humu na piga hesabu mwaka 2012 alikuwa na miaka 22 au 23 sasa hivi atakuwa na miaka mingapi?
Wakuu haka kabinti sijui kamama ni kaongo jamani kuweni makini,. Just seeking attention msiumizwe vichwa
Screenshot_20250210-171554_Brave.jpg
 
Juzi alikuja na uzi mwingine akikanusha kwamba ile 50 Milion alikuwa anamuombea rafiki yake ushauri tu lakini yeye anatafuta kazi ya Upishi.

UTULIVU WA AKILI NYAKATI NGUMU NI MUHIMU SANA.
KUna watu wanachangamoto sana aisee,.
Sometimes hadi unaingiwa na Huruma na kuhisi labda ni Mental health au ndio kukata tamaa kwa hatua ya mwisho kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom