Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
KUna watu wanachangamoto sana aisee,.
Sometimes hadi unaingiwa na Huruma na kuhisi labda ni Mental health au ndio kukata tamaa kwa hatua ya mwisho kabisa
Maisha yetu ni fumbo gumu sana aisee kwa sababu hujui nini kitatokea within 24 hours. Hata ukijiua huko unakoenda unapajua palivyo? Maana maisha ya duniani ni mitihani mitupu. And nobody is happy all the time lakini ni vile kuamua kuficha huzuni na maumivu na kuendelea ku move on
 
Mungu wangu! kweli aso na hili ana lile. na hali ya kukataliwa na ninaowapenda na kuwathamni. ila nikifikiria navyopenda kula siwezi chukua maamuzi magumu hata siku moja. Pole sana mkuu ila usikate tamaa kama una unalipitia unaweza kushare humu JF kuna watu watakusaidia hata ushauri. nanakuambia hilo sababu kuna watu humu walitenga muda wao kwa ajili yangu. tena kwa PM tu hakuna kupigiana simu au kuonana lkn wamekuwa msaada mkubwa kwangu mpaka nikahisi amani. kwa ufupi JF ni familia yangu. (uzuri wa humu unakuwa huru kufunguka sababu hakuna anayekufahamu hakuna mtu wa kukunyoshea kidole. kuwa tu huru.
 
Maisha yetu ni fumbo gumu sana aisee kwa sababu hujui nini kitatokea within 24 hours. Hata ukijiua huko unakoenda unapajua palivyo? Maana maisha ya duniani ni mitihani mitupu. And nobody is happy all the time lakini ni vile kuamua kuficha huzuni na maumivu na kuendelea ku move on
Yeah ni kweli,. Mambo ni mengi mno tunaishi nayo hivyohivyo maana kukata tamaa ni dhambi
 
Huyu anaweza kua na matatizo hata ya akili sababu mfululizo wa nyuzi zake mtu wa kawaida hawezi kufanya hivi.
Awe tu specific aseme ukweli watu wajue wanamsaidia nini,. Na wanaanzaje kumsaidia tofauti na hapo Ni Attension seeker tu kama Attension seekers wengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom