Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Jaribu kukumbuka mambo mazuri uliliyowahi kufanya au kufanikisha. Ina maana katika maisha yako hakuna mazuri uliyowahi kutenda au kusaidia wengine?, kamaa ndio basi bado una thamani kubwa.
Huu ni wakati mgumu, lakini si mwisho wa maisha yako.
Kaka unapoteza nguvu kumshaur ni matumizi mabaya ya bando lako
 
Usithubutu kujitoa uhai Caty
Mkuu hapa JF na mitandao kwa ujumla kuna mengi. Tangu nilipoona ile thread ya jamaa ameandika kuwa yuko kwenya hali mbaya na siku zake za kufa zimefika, halafu baada ya siku chache mwengine akaanzisha thread kusema jamaa ameshafariki, kumbe ni huyo huyo mtu mmoja anataga kutapeli watu nilisema kweli duniani kuna mambo.
 
Yeah ni kweli,. Mambo ni mengi mno tunaishi nayo hivyohivyo maana kukata tamaa ni dhambi
Unajua hata kama mtu una changamoto inabidi utafute namna ya kusaidiwa sio unawasilisha changamoto zako umejikatia tamaa.

Halafu shida nyingine huwa anaanzisha nyuzi ambazo hazimsaidii chochote kwenye maisha yake ya uhalisia. Mara wiki mbili alizopita alikuwa Pemba kwa Mganga wa kienyeji kapotea, mara wiki iliyo fuata kapata 50M baada ya kuuza mali za urithi, juzi kaja tena anaandika anatafuta kazi ya Upishi na leo tena anasema anataka kujitanguliza mbele za haki.

Which is which?
Hata kama kuna watu wanataka kumsaidia kwa maandishi yake atapata je msaada? Kweli maisha ni magumu lakini ajitahidi kuwa na akili timamu basi.
 
Kwanini mkuu?
IMG_0408.png
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Upo wapi namie nije niniunge na wewe twende zetu mbinguni kwa baba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom