Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❀️❀️❀️

Wenu Amkartina.
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Acha ujinga, mambo matamu yanakuja soon usiwe na papara.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tulimpa nafasi ya kazi akambwela leo anataka kujiua
Alikataa mbona ona hapa

IMG_0409.png
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❀️❀️❀️

Wenu Amkartina.
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Niachie smart phone Yako Mkuu
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❀️❀️❀️

Wenu Amkartina.
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Unataka kutuambia kuwa hata bando huna,unavizia wifi mahotelini!
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❀️❀️❀️

Wenu Amkartina.
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Wacha ujinga Maisha ni magumu Kweli lakini usifike huko.

Kila MTU anapitia Maisha magumu na yupo na familia yake.
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❀️❀️❀️

Wenu Amkartina.
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
Ujanani mkipendwa maringo kibao, mkifika mwisho mwisho mwa third floor ndipo mnaanza kulia lia.

Wewe ni mmoja tu, wapo makumi elfu kama wewe, usikate tamaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom