Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Huyo anaonekana bado yupo hai.. Ana nyuzi za kuchangia ya watu.. Kama hapitii khali hii aombe to a. Maana anafanya mautani na kucheka kwa post za watu na kuto fikiri kwamba kuna watu wana pitia haya kiukweli hata humu kuna waliofariki au kujiua kiukweli now ni R.I.P.

na sifikiri kama ni joke nzuri kufanya

Kama unataka pesa omba wakupe humu.. Shame ikujae
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Kijana wewe bado mdogo sana, unaweza hata kukaa kwa shemeji yako.
Halafu nikwambie tuu hii hali inazoeleka. Baada ya muda utakaa sawa.
Uko mkoa gani tukupe mawazo?
 
Huyo anaonekana bado yupo hai.. Ana nyuzi za kuchangia ya watu.. Kama hapitii khali hii aombe to a. Maana anafanya mautani na kucheka kwa post za watu na kuto fikiri kwamba kuna watu wana pitia haya kiukweli hata humu kuna waliofariki au kujiua kiukweli now ni R.I.P.

na sifikiri kama ni joke nzuri kufanya

Kama unataka pesa omba wakupe humu.. Shame ikujae
Mkuu,
Huwa najaribu kusoma kiswahili chako ila ni kigumu sana.
 
Huyo anaonekana bado yupo hai.. Ana nyuzi za kuchangia ya watu.. Kama hapitii khali hii aombe to a. Maana anafanya mautani na kucheka kwa post za watu na kuto fikiri kwamba kuna watu wana pitia haya kiukweli hata humu kuna waliofariki au kujiua kiukweli now ni R.I.P.

na sifikiri kama ni joke nzuri kufanya

Kama unataka pesa omba wakupe humu.. Shame ikujae
Unadhani anaelewa basi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom