Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Unaweza kukuta alikuwa anauliza kwa niaba.
Au alikuwa na ndoto za kupata hiyo pesa akauliza vile.
Alichoandika sasa ndiyo uhalisia. Mental problem is real.
Kuna wengine maisha ya kuigiza, wengine utoto attention seekers.
Kwakweli,. Mambo yake tumwachie mwenyewe🙌🙌
 
Kaka uyo ukijibu poa ana piga picha ana tuma hapa mwenzio kaambia nitaweka na cheti chako cha milembe kakimbia hajarudi tena
Kaka katika kutafuta utamu wa Kati hakika napitia mengi mno .
Ona Sasa nipo kwa mgonjwa wa akili ,wanasaikolojia nisaidieni mwenzenu mapenzi yananiadhibu 😺
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
kosa vyote, ila usikose Mungu. kama hata Mungu hauna,aisee utapata taabu sana hapa duniani, na milele yote motoni. maadam unapumua, jitafakari, chukua hatua, mpokee Yesu Kristo moyoni kwa kumwamini na uokoke, kwani yeye pekee ndio njia kweli na uzima, kwa sababu alimwaga Damu, hakuna mwingine anayeokoa kwa sababu hapana mwingine aliyefanyika kafara kwa damu yake, hata mohamad hakumwaga damu kwa ajili ya waislam, ni Yesu Kristo pekee alimwaga Damu kwa aajili ya wanadamu wote. ni hiari kumpokea, ukimpokea unaokoka, ukimkataa hukumu na mauti zinakuwa juu yako, jambo la uamuzi binafsi, hakuna wa kumlaumu. Mungu akusaidie, ukichagua fungu jema, Mungu ni mwaminifu, hajawahi kumwacha aliyemwamini, sifa yake mojawapo ni uaminifu, atakutokea na kukukomboa kwenye hayo yote.
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Mkuu uamuzi wowote, upo mikononi mwako. Uendelee kuishi Kwa Imani na matumaini au ujimalize
 
Mkuu hapa JF na mitandao kwa ujumla kuna mengi. Tangu nilipoona ile thread ya jamaa ameandika kuwa yuko kwenya hali mbaya na siku zake za kufa zimefika, halafu baada ya siku chache mwengine akaanzisha thread kusema jamaa ameshafariki, kumbe ni huyo huyo mtu mmoja anataga kutapeli watu nilisema kweli duniani kuna mambo.
🤣🤣🤣🤣Kuna mambo ya ajabu humu sasa hivi hadi mtu unashindwa kujua lipi la kweli na lipi la uongo... All in all tuendelee kuburudika tu.
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Shukuru Mungu kwa kila jambo,jitihada haizidi kudra, na usichoke kupambana na kumuomba Mungu akufanyie wepesi, kiza kinapozidi ujuwe ndiyo kunakaribia kukucha!!
 
I may not have money to give, nor a job to offer, but the one thing I can offer you is love. Please allow me to be the one who loves you the most, Angalau nikupunguzie tatizo moja kati ya hayo matatu
 
I may not have money to give, nor a job to offer, but the one thing I can offer you is love. Please allow me to be the one who loves you the most, Angalau nikupunguzie tatizo moja kati ya hayo matatu
Lucha embu achana na mapenzi bwana njoo tunywe bia hapa Drill cade hotel
Utakuja kujitafutia mikosi ya maisha Kaka ,wengine sio watu ni mizimu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom