Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Pole sana mkuu.. upweke pia unachangia tafuta mtu uishi naye
Hahaha Yani ashindwe kupata furaha akiwa peke yake then akaipate kwa mtu mwingine?
Nikiunganisha na kujiua kwa huyo dereva bajaji wa Mbeya aliyeacha mke na mtoto miez mitano na wengine wengi ninaojua cases zao naona Mkumbo kwa vijana wenye stress na ushabiki wa vijiweni ni petrol inayopelekea wao kuchukua maamuzi mabaya dhidi ya maisha Yao.
 
Sijui ni mimi tu lakini ishu y kuomba ajira au kazi nimeona kule X (zamani Twitter) kuna urahisi kidogo, nimesjudia washkaji kadhaa wakipata msaada.

Unaweza jaribu kule, huku watu wengi wana wasiwasi na kumzoea mtu na vile asilimia kubwa tunajaribu kuficha identity zetu kwa hiyo inakuwa ngumu.

Unaweza mcheki Malkia Nyuki au Coco, wakakusaidia ishu yako watu waone wanakusaidia vipi. Watu hawana noma wanaweza kutokukupa ajira ila wakakuchangia mtaji.

Ukipata time jaribu ila naamini kule ni rahisi zaidi.
 
Asante sana.
Nitajaribu
 
Nani mwenye pesa? Kila mtu anaitafuta hiyo pesa ambayo wewe umeikatia tamaa.
Kuhusu kazi jaribu upande wa pili, achana na kazi za kutambea na bahasha. Inaonekana kazi ambayo wewe unaitaka ni ile ya kuajiriwa ofisini tu.
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Nakupenda pia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom