BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Njoo tuishi huku nitumie namba yako pm tuongee Kama uko seriously
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna thread inaonyesha ana zaidi ya 55yrsID yake ina zaidi ya miaka 12 JF, she is estimated to be above 35 years.
Stuka boyKwani JamiiForums ukiwa na views na comments nyingi wanalipa? Hii content inatembea
Kaandika hana kazi, hizo 50m kazipata wapiAm katrina a.ka habari na hoja mchanganyiko 😁
Naomba basi hata laki moja tu katika ile mil 50 ndo tuagane vizuri
Hahaha Yani ashindwe kupata furaha akiwa peke yake then akaipate kwa mtu mwingine?Pole sana mkuu.. upweke pia unachangia tafuta mtu uishi naye
shemela talk with her, abadilishe msimamo.Acheni basi!
Asante sana.Sijui ni mimi tu lakini ishu y kuomba ajira au kazi nimeona kule X (zamani Twitter) kuna urahisi kidogo, nimesjudia washkaji kadhaa wakipata msaada.
Unaweza jaribu kule, huku watu wengi wana wasiwasi na kumzoea mtu na vile asilimia kubwa tunajaribu kuficha identity zetu kwa hiyo inakuwa ngumu.
Unaweza mcheki Malkia Nyuki au Coco, wakakusaidia ishu yako watu waone wanakusaidia vipi. Watu hawana noma wanaweza kutokukupa ajira ila wakakuchangia mtaji.
Ukipata time jaribu ila naamini kule ni rahisi zaidi.
Nakupenda pia.Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.
Sasa Duniani nafanya nini?
Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.
Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️
Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
😂😂😁😁😁😁 nishapata mbona! Tupo hatua za mwisho kabisa za maelewano subiri nimuite hapa
Qashy Lilith Pita mbele wakuone mama, nimeshakutungia na wimbo kabisa kama mmakonde mwenzangu Harmonize kesho nauachia hapa hapa jeiefu, kule kwenye jukwaa la mahusiano.
Poa poa, naamini utafanikiwa.Asante sana.
Nitajaribu
Wewe tulia tu kesho utainjoy mwenyewe, au nichumu kidogo tu ili nikupe kionjo.😂😂
Yajayo yanachekesha sana
UnWewe tulia tu kesho utainjoy mwenyewe, au nichumu kidogo tu ili nikupe kionjo.
Acha kunitania wewe😂Wewe tulia tu kesho utainjoy mwenyewe, au nichumu kidogo tu ili nikupe kionjo.