Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Ngoja Nomadix anisaidie hapaSawa nakufurahisha ila wewe hunifurahishi kwa nini usinikubalie au unaona aibu? wewe chelewa tu kuna wenzako wananifukuzia ki chini chini, ikifika kesho tu hotoamini utachokiona jeiefu kuhusu mimi.