Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Nyege tu zinakusumbuwa kwani ndo we upo peke ako wapo wenye kazi na maisha bado yanawapiga nina mshkaj wangu anapokea 1ml kwa mwez ila anasema soon anaacha kazi aende mashariki ya mbali kuangalia michongo mingine ,kazi pekee sio ndo umemaliza we kama umeweka kifo priority we kufa tu ila iyo situation wenzako wanapitia tena very worse
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Jinyonge tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom