Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa, sio
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Hakuna kukimbiza unamuachia nani maisha magumu tutakuzuia tu hakuna ku Left ⬅️
 
Kijana bora hata Wewe mimi nina mke na mtoto moja lakini maisha kwangu yamekuwa magumu sina pesa Wala kazi mke anahitaji matunzo, mtoto anahitaji maziwa nahitaji pesa ya kulipa kodi ya nyumba , pesa ya chakula na mambo mengine mengi kibao nilikuwa na kazi lakini kwa bahati mbaya nikafukuzwa kwa makosa ambayo sikutenda mimi
Najaribu kutuma maombi ya kazi kila Mara hakuna ninachokipata nimekuwa mtu wa kukopa pesa tu kwa watu 😭😭😭 but I’m fight hakuna kukataa tamaa ma Piga maombi na Miti shamba mpaka kieleweke
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Karibu kwenye ulimwengu wa wanaume. Hayo ndio maisha ambayo sisi huwa tunaishi wakati wa kujitafuta.

Hakuna anaekujali kwa chochote, wanawake wanakuona kama takataka tu. Password ni kutokata tamaa na kukubali ukweli kwamba ni kipindi cha mpito

Hang on there, everything will be alright
 
Am katrina a.ka habari na hoja mchanganyiko 😁

Naomba basi hata laki moja tu katika ile mil 50 ndo tuagane vizuri
Kwani ndiyo huyu wiki chache zilizopita alikuwa anaomba ushauri humu jukwaani wa namna ya kutumia milioni 50 ilyotokana na kuuza eneo la urithi, na kupata mgao wa milioni 45! Halafu hizo milioni 5 alikuwa nazo, na hivyo kujikuta ana milioni 50 kwenye akaunti!!!

Kama ni yeye basi atakuwa anazingua.
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Usijidhuru tafadhali uko wapi?
 
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.

Sasa Duniani nafanya nini?

Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.

Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️

Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Achana na hayo mawazo mkuu. Kumbuka tunaishi muda mfupi sana duniani so hakuna sababu ya kuendelea kuzipunguza siku za kuishi naamini mambo yanapozidi kuwa magumu ujue na suluhu i mbioni kupatikana. Kama hauna hata familia inayokutegemea we jikaze upambane tu hakuna kuchoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom