Aaaah wewe AmKATRINA usifikie huko aisee una ujuzi gani na una elimu gani?Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.
Sasa Duniani nafanya nini?
Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.
Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️
Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
We unamchosha katrina ujue..unampa speed ajinigeAm katrina a.ka habari na hoja mchanganyiko 😁
Naomba basi hata laki moja tu katika ile mil 50 ndo tuagane vizuri
Mwambie aje PM tuyajengeUkipata akupendaye utaghairi kufanya uamuzi mgumu?
Acha mawazoKila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.
Sasa Duniani nafanya nini?
Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika tamati.
Msiponiona mjue nimefanya uamuzi mgumu.
Nawapenda wote wana Jamii Forums ❤️❤️❤️
Wenu Amkartina.
👋👋👋👋👋
Tuliza akili wewe,familia inakutegemea hata kama huna kaziTafadhari kukata tamaa ni dhambi sana