Naona majina haya ya kiasili yakienda kuvuma siku za usoni

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni.

Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo

Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina mapya yaki reflect uhalisia mpya. Majina yanayo-trend kwa sasa ni kama:

MCHAKATO, JIWE ,FIGISU, FISADI, UTOPOLO, KOLO, KIMEO, PASUA, KIMBEMBE,, BEBEERU, JIPU, CHAWA, DANGA na mengineyo yanayofanana na hayo

Hakika, ukimpa mwanao, utakua umeutendea haki uhalisia mpya
 
Yupo jamaa ana wanae mapacha amewapa majina wakwanza anaitwa Utajua na wapili Hujui sasa ngoja wakue waanze kujiuliza maswali kwamba mmoja kwanini ajue na mwingine asijue

Hapo naona unyanyapaa
 
Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni.

Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo

Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina mapya yaki reflect uhalisia mpya. Majina yanayo-trend kwa sasa ni kama:

MCHAKATO, JIWE ,FIGISU, FISADI, UTOPOLO, KOLO, KIMEO, PASUA, KIMBEMBE,, BEBEERU, JIPU, CHAWA, DANGA na mengineyo yanayofanana na hayo

Hakika, ukimpa mwanao, utakua umeutendea haki uhalisia mpya
...MIXIOLOGIST ??? [emoji846][emoji846][emoji846]...
 
Back
Top Bottom