GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tokea Siku ya Alhamisi iliyopita tena katika Kurasa zako mbalimbali za Mitandao Wewe Maulid Kitenge na mpaka Jana Usiku ulikuwa ‘ ukituhimiza ‘ kuwa Sisi Wapenzi wa Michezo vya Redio hasa vile ambavyo huwa unaviendesha Wewe tusikose na wala tusithubutu ‘ Kubanduka ‘ katika 88.9 Wasafi fm kwani Kuanzia Saa 2 Kamili asubuhi hadi Saa 5 Kamili asubuhi utakuwa ‘ unazindua ‘ hicho Kipindi chako Kipya cha ‘ Sports Arena ‘ lakini cha Kusikitisha hadi hivi sasa Saa 2 hii na Robo Kipindi hakijaanza na nasikia tu Kipindi sijui cha Jogoo na ‘ Upuuzi ‘ mwingine.
Sasa nimeamini rasmi kuwa duniani kote anayejua kwenda na muda, ahadi na kuheshimu Ratiba zake na huwa hakosei ni Mzungu tu peke yake. Kama Siku zingine mkiwa mnajua kabisa kuwa hamna huo ‘ Ustaarabu ‘ walionao Wazungu basi msiwe ‘ mnajitutumua ‘ kujifanya nanyi mnauweza ‘ Ustaarabu ‘ Wao.
Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama ‘ Uswahili Uswahili ‘ na ‘ Uwongo ‘ au Mtu kutotimiza ‘ Ahadi ‘ yake. Hata kabla ya Kipindi chako tu Kuanza tayari ‘ umeshanikwaza ‘ na sasa nadhani nitaendelea tu Kusikiliza Kipindi cha ‘ Sports Headquarters ‘ ambacho naona kina ‘ Ustaarabu ‘ na Watu makini na siyo huu ‘ Upuuzi ‘ wako wa Kutuambia tukutegee Masikio Saa 2 hii halafu mnatupigia tu miziki yenu. Hovyo kabisa!
Kwanza hata Li ' Redio ' lenyewe halisikiki vizuri kwani ' Frequency ' yake nayo ni mpaka ukae sehemu nzuri au uipindue pindue Redio au uiweke chini ya Uvungu kama si Dirishani ndipo unaishika vizuri vinginevyo utabaki kusikia Makelele tu. Efm au Clouds fm au Magic fm ambazo zote zina Vipindi vizuri kabisa vya Michezo havina hili tatizo na huu ' Upuuzi ' hivyo kwa dalili hii mpaka unaona GENTAMYCINE ' nimekwazika ' hivi tayari ' Nuksi ' imeshaanza na sijui kama hata Wasikilizaji nao mtawapata wengi. Yaani naamka mapema Kujiandaa Kusikiliza Kipindi cha Michezo nakutana na Kipindi kinaongelea Kuku kwahiyo umeambiwa / mmeambiwa Sisi Wasikilizaji wenu / wako mliotuambia tusikose Kusikiliza Kipindi leo ni Kuku?