Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Tuwape muda mkuu si unajua alipotoka na wenyewe wamemleta Mh Paul Makonda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unauliza Mimi ni nani wakati unajua kabisa kuwa Mimi ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE je, nikisema Wewe ni ' Popoma ' nitakuwa nakosea?
Mimi nakubaliana na wewe kitu kimoja sipendi mtu ambaye hajali muda hii ni biashara sio udaku ukisema saa moja basi iwe saa moja kama saa 4 sema tu 4 sio kufanya mambo ya kitoto unapoteza uaminifi kwa vitu vya kijinga kabisa. sipendi kumuahidi mtu uongo katika mambo ya mida na sipendi mtu aseme uongo nakuja saa 1 halafu anakuja saa 2 mbaya sana.
Kwani haiwezekani kufanya shughuli zako huku unasikiliza radio???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa comments zako zinanifurahishaYaani unauliza Mimi ni nani wakati unajua kabisa kuwa Mimi ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE je, nikisema Wewe ni ' Popoma ' nitakuwa nakosea?
Ila hicho kipindi kitakuwa na watangazaji wengi 7
Tokea nizaliwe hadi leo hii nipo Mkubwa hivi Kula yangu au Ustawi wangu mzima wa Kimaisha ulikuwa unakutegemea ' Mpumbavu ' Wewe? Nimeshawahi hata Siku moja kuja Kukugongea Kwako kuwa nataka Unipe Ugali wako na Matembele unayoshindia 24/7? Nilikuwa sijui kumbe kwa Tanzania hii ili Mtu aonekane umeenda Kazini ni mpaka uamke Alfajiri upambane na Madalala na urejee Jioni ndiyo unajulikana umeenda Kazini? Sasa nakubaliana tena kwa 100% yale ' Matusi ' ambayo Waafrika wengi tumekuwa tukipewa na Rais Trump wa Marekani. Tuna matatizo makubwa ' Ubongoni ' mwetu. Na ulivyo ' Mpumbavu ' wa ' Kutukuka ' hujui kuwa wengine ' Fani ' zao ni za Kutegemeana ambapo wakisikiliza Kipindi husika basi na Wao hapo hapo wanapata ' Tips ' za Kihabari / Kitaarifa na pia wanatengeneza vyema ' News Angles ' zao kisha wanazitumia kwa Matumizi yao mengine ambayo baadae pia yanawaongezea Vipato vyao na Maisha yao yanaenda. Nimefurahi Kukutana na ' Mpumbavu ' Mmoja Wewe mapema Asubuhi hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa comments zako zinanifurahisha
Brother me nakubaliana na ww kwa 100% Yan hakuna kitu kibaya km kuishi kwa mazoea ...Nimepoteza Marafiki wengi na hata Kushindwana na Mademu wengi kutokana tu na Suala zima la Muda ( Ahadi ) na Kujali Ratiba. Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nakipenda na nakiheshimu kama kwenda na muda, kuwa Mtu wa Ahadi na Kujali / Kuheshimu Ratiba. Ukitaka ' nikuchukie ' na ' tugombane ' Wewe niambie Uwongo au nipoteze muda na hapo ndiyo utanijua vizuri na huenda hata ' ukanichukia ' Maisha yako yote.
Kuna Demu Mmoja nakumbuka niliwahi Kupendana nae mno tu na alijua kuwa Mimi ndiyo nitakuja kuwa Mumewe lakini kuna Siku tulikubaliana kukutana muda fulani ( siyo kwenda Kufanya Mapenzi ) na nilifika eneo husika dakika 15 kabla ya muda wetu na Yeye alifika dakika 45 baadae tofauti na muda tuliokubaliana na kilichofuatia pale pale nilimpa ' Makavu ' yangu na kuwambia Mimi na Yeye Safari yetu ndiyo imeishia pale rasmi. Hadi hivi leo haamini Mkuu japo nakiri kuwa alikuwa ni Mwanadada Mmoja Mrembo sana lakini sikuliangalia hilo kwani GENTAMYCINE Kiasili ni Mtu wa ' PRINCIPLES ' na nitakuwa hivyo hadi nazama zangu Shimoni Kaburini pale Mwenyezi Mungu akiniita Siku aliyonipangia.
Na kilichonikasirisha zaidi kwa huyo Demu ni kwamba nakumbuka kabla kabisa ya Kukubaliana nae kuhusu muda wetu wa Kukutana nilimuuliza zaidi ya mara tano kuwa je, ana uhakika huo muda atauweza na atawahi nae kwa Kujiamini kabisa na ' Mikogo ' kibao ( kama mnavyowajua Wanawake wetu / Dada zetu ) akanihakikishia kuwa atawahi lakini hatimaye hakutimiza Ahadi yake na Urafiki wetu ukafiki Kikomo hapo hapo.
Desturi yangu mara zote nikiwa napanga ' appointment ' na Mtu yoyote yule huwa napenda kumpa Yeye nafasi ya Kupanga au Kuchagua muda husika ili ' ajinyonge ' mwenyewe na kama asipoenda na huo muda basi Kazi yangu ya Kumpa ' Makavu 'iwe rahisi na Kumalizana hapo hapo. Kama unajua huna uhakika basi usiniahidi muda wa Kukutana / Kuonana na huwa napenda mno wale Watu ambao hufika mahala dakika 15 au hata 30 kabla ya ule muda wetu tuliokubaliana. au hata kama unaona utachelewa basi nijulishe mapema hapo nitakuheshimu kuliko unanichelewesha halafu hunipi taarifa zozote za sababu ya Kuchelewa Kwako.
Sasa kwa mfano kama Maulid Kitenge na Kituo chake cha Wasafi fm kumbe walijua kuwa kwa leo Jumatatu hii hawatakuwa na Kipindi muda ule aliotuambia tokea Siku ya Alhamisi katika Kurasa zake mbalimbali za Mitandao kwakuwa watakuwa katika Sherehe za Uzinduzi kama ambazo zinaendelea sasa basi hata Jana tu kupitia Kurasa zake zile zile angetuambia au hata Kutuomba Radhi Wasikilizaji wake tofauti na ambavyo amefanya na ndiyo maana hata Mimi nimekuwa ' Mkali ' hivi Kwake / Kwao. Mawasiliano ni jambo zuri na jema sana na kwa hili kidogo ' PR ' ya Wasafi fm ' imenajisiwa ' hasa kama Wewe ukiwa ni Mwana Taaluma ' tukuka ' wa Mawasiliano ya Umma na Uhusiano. Hili Kosa lisijirudie tena tafadhali.
Bora kahama kwanza EFM alikua anaongoza kipindi kimajungu sana...kila siku yeye kuponda tu simba haoni mazuri kila siku anataka mabaya tu
Font changed....