DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Wewe mtoto wa Chuga upo ?Huu mwandiko sio wako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtoto wa Chuga upo ?Huu mwandiko sio wako!
Wewe mtoto wa Chuga upo ?
huna akili ww,leo ndo wanafanya uzinduzi, sio lazma wote tuwasikilize wasafi unaweza endelea wasikuliza hao wengne kuna zaid ya redio station 100 Tz baraTokea Siku ya Alhamisi iliyopita tena katika Kurasa zako mbalimbali za Mitandao Wewe Maulid Kitenge na mpaka Jana Usiku ulikuwa ‘ ukituhimiza ‘ kuwa Sisi Wapenzi wa Michezo vya Redio hasa vile ambavyo huwa unaviendesha Wewe tusikose na wala tusithubutu ‘ Kubanduka ‘ katika 88.9 Wasafi fm kwani Kuanzia Saa 2 Kamili asubuhi hadi Saa 5 Kamili asubuhi utakuwa ‘ unazindua ‘ hicho Kipindi chako Kipya cha ‘ Sports Arena ‘ lakini cha Kusikitisha hadi hivi sasa Saa 2 hii na Robo Kipindi hakijaanza na nasikia tu Kipindi sijui cha Jogoo na ‘ Upuuzi ‘ mwingine.
Sasa nimeamini rasmi kuwa duniani kote anayejua kwenda na muda, ahadi na kuheshimu Ratiba zake na huwa hakosei ni Mzungu tu peke yake. Kama Siku zingine mkiwa mnajua kabisa kuwa hamna huo ‘ Ustaarabu ‘ walionao Wazungu basi msiwe ‘ mnajitutumua ‘ kujifanya nanyi mnauweza ‘ Ustaarabu ‘ Wao.
Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama ‘ Uswahili Uswahili ‘ na ‘ Uwongo ‘ au Mtu kutotimiza ‘ Ahadi ‘ yake. Hata kabla ya Kipindi chako tu Kuanza tayari ‘ umeshanikwaza ‘ na sasa nadhani nitaendelea tu Kusikiliza Kipindi cha ‘ Sports Headquarters ‘ ambacho naona kina ‘ Ustaarabu ‘ na Watu makini na siyo huu ‘ Upuuzi ‘ wako wa Kutuambia tukutegee Masikio Saa 2 hii halafu mnatupigia tu miziki yenu. Hovyo kabisa!
Kwanza hata Li ' Redio ' lenyewe halisikiki vizuri kwani ' Frequency ' yake nayo ni mpaka ukae sehemu nzuri au uipindue pindue Redio au uiweke chini ya Uvungu kama si Dirishani ndipo unaishika vizuri vinginevyo utabaki kusikia Makelele tu. Efm au Clouds fm au Magic fm ambazo zote zina Vipindi vizuri kabisa vya Michezo havina hili tatizo na huu ' Upuuzi ' hivyo kwa dalili hii mpaka unaona GENTAMYCINE ' nimekwazika ' hivi tayari ' Nuksi ' imeshaanza na sijui kama hata Wasikilizaji nao mtawapata wengi. Yaani naamka mapema Kujiandaa Kusikiliza Kipindi cha Michezo nakutana na Kipindi kinaongelea Kuku kwahiyo umeambiwa / mmeambiwa Sisi Wasikilizaji wenu / wako mliotuambia tusikose Kusikiliza Kipindi leo ni Kuku?
Sijambo mdogo wangu[emoji18]nipo ujambo
Achana na popoma hilohuna akili ww,leo ndo wanafanya uzinduzi, sio lazma wote tuwasikilize wasafi unaweza endelea wasikuliza hao wengne kuna zaid ya redio station 100 Tz bara
Sijambo mdogo wangu
Tunafanya mida ya Wanga! Umekasirika?saa mbili asubuhi unapata muda wa kusikiliza radio..shughuli zako za kukuingizia kipato unazifanya saa ngapi au huna kazi za kufanya?
notisi zote hizi mwamba!!!..jua kufanya muhtasari
mwendawazimu huona wazima ndiyo wendawazimu kwa kutupa chakula kizima(kibovu) jalalani,kushindwa kufanya muhtasari ni dalili ya ufahamu finyuZinakusumbua nini? Mimi Kujieleza Kwangu kwa Kirefu na kwa Utuo pia Wewe ' Mpuuzi / Popoma ' Kunakuuma nini? Hivi Simon Msuva ( inamankusweke ) anaweza Kumfundisha Mpira na Kumpa Maelekezo Lionel Messi ( GENTAMYCINE ) na akaeleweka? Jifundishe Kwanza Wewe jinsi ya kutumia Akili vizuri na zikiwa zimekukaa vyema unaweza ukarejea Kwangu sawa?
Mkuu ratiba za watu tofauti what if kama yuko likizo au anaingia shift ya mchana au yuko kwenye gari akisikiliza au anauza duka lake huku akisikiliza.....
saa 2 asubuhi badala ya kumpikia chai mumeo awahi kazini unasikiliza redio, utapewa talaka, shauri yako
Huu mwandiko sio wako!
Ni nani ?
mwendawazimu huona wazima ndiyo wendawazimu kwa kutupa chakula kizima(kibovu) jalalani,kushindwa kufanya muhtasari ni dalili ya ufahamu finyu