GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Atakuwa kapewa HISA, maana hama hama kwa umri kama ule si afya kwa walaji!!
Wewe usingehama Mkuu? Achana ' Unafiki ' wako hapa tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kapewa HISA, maana hama hama kwa umri kama ule si afya kwa walaji!!
GENTA naomba nisaidie kumjibu huyu jamaa
nimekuchukia wapi!?..nilikwambia tu uwe unaandika kwa muhtasari,ukapanic
Dereva daladala huyo, muda wote na radio!
nina busara zaidi yako,sikulelewa kupenda majivuno,sioni tija ya mzozo wakati hatujuani sura wala rangi ya ngozi..na pole kama wadhani nakuogopaMbona sasa hivi unaonekana umekuwa Mpole, una Adabu zote na hujaandika Kwa Kunikejeli kama ' posts ' zako za Awali katika Uzi huu huu? Kulikoni? Wewe ulidhani nilivyojiita GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE labda nilibahatisha tu? Hivi hujui Kazi ya Dawa aina ya ' Antibiotics ' ndani ya Mwili wa Mwanadamu? Ni matumaini yangu makubwa sasa kuwa Kuanzia leo hii utakuwa unakaa mbali kabisa na hii ID na Kuiheshimu pia kwani ni ID isiyolea Ujinga ( Ungumbaru ) na Upumbavu ( Upopoma ) wa baadhi yenu hapa.
Alikuwa anafanya kipindi EFM leo amesoma magazeti ya morning[emoji41][emoji41][emoji41]Nimeshangaa tu Makonda hajaalikwa
nina busara zaidi yako,sikulelewa kupenda majivuno,sioni tija ya mzozo wakati hatujuani sura wala rangi ya ngozi..na pole kama wadhani nakuogopa
ngoja nikudharau tu,huenda kweli ni dereva wa daladala,huwa mna visirani tu,maana kuamka saa kumi alfajir kulala saa sita usiku ni ngumu kuwa na fikra pevu na kukosa kisiraniHaya ndiyo umeyajua hivi sasa baada ya Kunichokoza na Kupokea ' Makombora ' yangu ambayo yamekufanya uwe Mpole hivyo na hadi hata ' Kunyong'onyea ' kama ambavyo unaonekana sasa? Halafu nani alikuambia kuwa Mimi sina Busara au Adabu? Kwa Kukusaidia tu ni kwamba GENTAMYCINE nina Sifa Kuu mbili ambapo ukija Kwangu Kiustaarabu nami nitakuonyesha Ustaarabu wangu na hutoamini ila ukija Kwangu Kishari, Kihuni, Kiuchokozi na Kinafiki nakuambia hakuna rangi ambayo utaacha Kuiona na nitakuonyesha pia nilivyo Msela. Kanuni yangu haijabadilika ambapo Wewe ukitishia tu Kujamba Mimi nakunya kabisa.
Kwani kile cha ' Sports Headquarters ' alichokuwa akikiendesha alipokuwa Efm kilikuwa kinachukua Masaa mangapi labda? Yawezekana Mimi nikawa siyo ' Mathematician ' hivyo naomba Wewe uniambie kuanzia Saa 3 Kamili hadi Saa 6 Kamili Mchana hayo ni Masaa mangapi? Ilikuwaje alipokuwa kule Efm uliyazoea na sasa anapokuja nayo Wasafi fm yaanze Kukupa ' Ukakasi ' huo unaousema? Siku zingine acheni Kuvuta Bange / Bangi kama bado mnajua hamjala / hamjatia Kitu chochote Matumboni mwenu sawa?
Kama navuta bangi wewe zinakuhusu nini mkuu? Ungenijibu tu na ingekuwa vizuri sana kwani mimi kusema ni masaa 3 ni ukakasi nini kilichoharibika hapo? Mkuu jiheshimu sana na tena jiheshimu tangu niingie jf sijaona reply ya kibwege kama hii kama huna fact kaa kimya kwani utakufa?
Kwani kile cha ' Sports Headquarters ' alichokuwa akikiendesha alipokuwa Efm kilikuwa kinachukua Masaa mangapi labda? Yawezekana Mimi nikawa siyo ' Mathematician ' hivyo naomba Wewe uniambie kuanzia Saa 3 Kamili hadi Saa 6 Kamili Mchana hayo ni Masaa mangapi? Ilikuwaje alipokuwa kule Efm uliyazoea na sasa anapokuja nayo Wasafi fm yaanze Kukupa ' Ukakasi ' huo unaousema? Siku zingine acheni Kuvuta Bange / Bangi kama bado mnajua hamjala / hamjatia Kitu chochote Matumboni mwenu sawa?
Kama navuta bangi wewe zinakuhusu nini mkuu? Ungenijibu tu na ingekuwa vizuri sana kwani mimi kusema ni masaa 3 ni ukakasi nini kilichoharibika hapo? Mkuu jiheshimu sana na tena jiheshimu tangu niingie jf sijaona reply ya kibwege kama hii kama huna fact kaa kimya kwani utakufa?
Huwezi kujipa sifa hizo wakat shule yenyew umeungaunga mpaka kujikuta unasoma chuo takataka kama SAUTI,kwa mimi nisingeweza kupoteza muda wangu kwenda pale...Pumbavu zakoYaani unauliza Mimi ni nani wakati unajua kabisa kuwa Mimi ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE je, nikisema Wewe ni ' Popoma ' nitakuwa nakosea?
Umelisahau kumwambia lile neno lako pendwa la Popoma[emoji16]Tokea nizaliwe hadi leo hii nipo Mkubwa hivi Kula yangu au Ustawi wangu mzima wa Kimaisha ulikuwa unakutegemea ' Mpumbavu ' Wewe? Nimeshawahi hata Siku moja kuja Kukugongea Kwako kuwa nataka Unipe Ugali wako na Matembele unayoshindia 24/7 au ' Bando ' la Kuniwezesha Mimi kuwepo hapa? Nilikuwa sijui kumbe kwa Tanzania hii ili Mtu aonekane umeenda Kazini ni mpaka uamke Alfajiri upambane na Madalala na urejee Jioni ndiyo unajulikana umeenda Kazini? Sasa nakubaliana tena kwa 100% yale ' Matusi ' ambayo Waafrika wengi tumekuwa tukipewa na Rais Trump wa Marekani. Tuna matatizo makubwa ' Ubongoni ' mwetu. Na ulivyo ' Mpumbavu ' wa ' Kutukuka ' hujui kuwa wengine ' Fani ' zao ni za Kutegemeana ambapo wakisikiliza Kipindi husika basi na Wao hapo hapo wanapata ' Tips ' za Kihabari / Kitaarifa na pia wanatengeneza vyema ' News Angles ' zao kisha wanazitumia kwa Matumizi yao mengine ambayo baadae pia yanawaongezea Vipato vyao na Maisha yao yanaenda. Nimefurahi Kukutana na ' Mpumbavu ' Mmoja Wewe mapema Asubuhi hii.
Nawe piaAsante nawe ' Popoma ' kwa Kuiona / Kuliona.
nawaona mapopoma mnatambaliziana mikuyenge ya futi sita 6Wewe usingehama Mkuu? Achana ' Unafiki ' wako hapa tafadhali.
nawaona mapopoma mnatambaliziana mikuyenge ya futi sita 6Haya ndiyo umeyajua hivi sasa baada ya Kunichokoza na Kupokea ' Makombora ' yangu ambayo yamekufanya uwe Mpole hivyo na hadi hata ' Kunyong'onyea ' kama ambavyo unaonekana sasa? Halafu nani alikuambia kuwa Mimi sina Busara au Adabu? Kwa Kukusaidia tu ni kwamba GENTAMYCINE nina Sifa Kuu mbili ambapo ukija Kwangu Kiustaarabu nami nitakuonyesha Ustaarabu wangu na hutoamini ila ukija Kwangu Kishari, Kihuni, Kiuchokozi na Kinafiki nakuambia hakuna rangi ambayo utaacha Kuiona na nitakuonyesha pia nilivyo Msela. Kanuni yangu haijabadilika ambapo Wewe ukitishia tu Kujamba Mimi nakunya kabisa.
nawaona mapopoma mnatambaliziana mikuyenge ya futi sita 6Asante nawe ' Popoma ' kwa Kuiona / Kuliona.
Huwezi kujipa sifa hizo wakat shule yenyew umeungaunga mpaka kujikuta unasoma chuo takataka kama SAUTI,kwa mimi nisingeweza kupoteza muda wangu kwenda pale...Pumbavu zako
Huku mbeya kimyaa lini watakuja duuh?