Naona Maulid Kitenge na Wasafi FM ulikohamia rasmi mmeshaanza ‘ kuchemsha ‘ mapema tu

Tokea Siku ya Alhamisi iliyopita tena katika Kurasa zako mbalimbali za Mitandao Wewe Maulid Kitenge na mpaka Jana Usiku ulikuwa ‘ ukituhimiza ‘ kuwa Sisi Wapenzi wa Michezo vya Redio hasa vile ambavyo huwa unaviendesha Wewe tusikose na wala tusithubutu ‘ Kubanduka ‘ katika 88.9 Wasafi fm kwani Kuanzia Saa 2 Kamili asubuhi hadi Saa 5 Kamili asubuhi utakuwa ‘ unazindua ‘ hicho Kipindi chako Kipya cha ‘ Sports Arena ‘ lakini cha Kusikitisha hadi hivi sasa Saa 2 hii na Robo Kipindi hakijaanza na nasikia tu Kipindi sijui cha Jogoo na ‘ Upuuzi ‘ mwingine.

Sasa nimeamini rasmi kuwa duniani kote anayejua kwenda na muda, ahadi na kuheshimu Ratiba zake na huwa hakosei ni Mzungu tu peke yake. Kama Siku zingine mkiwa mnajua kabisa kuwa hamna huo ‘ Ustaarabu ‘ walionao Wazungu basi msiwe ‘ mnajitutumua ‘ kujifanya nanyi mnauweza ‘ Ustaarabu ‘ Wao.

Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama ‘ Uswahili Uswahili ‘ na ‘ Uwongo ‘ au Mtu kutotimiza ‘ Ahadi ‘ yake. Hata kabla ya Kipindi chako tu Kuanza tayari ‘ umeshanikwaza ‘ na sasa nadhani nitaendelea tu Kusikiliza Kipindi cha ‘ Sports Headquarters ‘ ambacho naona kina ‘ Ustaarabu ‘ na Watu makini na siyo huu ‘ Upuuzi ‘ wako wa Kutuambia tukutegee Masikio Saa 2 hii halafu mnatupigia tu miziki yenu. Hovyo kabisa!

Kwanza hata Li ' Redio ' lenyewe halisikiki vizuri kwani ' Frequency ' yake nayo ni mpaka ukae sehemu nzuri au uipindue pindue Redio au uiweke chini ya Uvungu kama si Dirishani ndipo unaishika vizuri vinginevyo utabaki kusikia Makelele tu. Efm au Clouds fm au Magic fm ambazo zote zina Vipindi vizuri kabisa vya Michezo havina hili tatizo na huu ' Upuuzi ' hivyo kwa dalili hii mpaka unaona GENTAMYCINE ' nimekwazika ' hivi tayari ' Nuksi ' imeshaanza na sijui kama hata Wasikilizaji nao mtawapata wengi. Yaani naamka mapema Kujiandaa Kusikiliza Kipindi cha Michezo nakutana na Kipindi kinaongelea Kuku kwahiyo umeambiwa / mmeambiwa Sisi Wasikilizaji wenu / wako mliotuambia tusikose Kusikiliza Kipindi leo ni Kuku?
Ina maana na wewe ukiamka tu asubuhi unaanza kusikiliza redio?Kazi huna au ndo muda wa kuamka umefika lakini pa kwenda hamna?
 
Kazi sina na je, lile Jukumu zuri ulilonipa la ' Kukutambalizia ' kwa Wiki mara Tatu na unanilipa Ujira haitoshi kuwa Ajira Kwangu?
 
Tokea Siku ya Alhamisi iliyopita tena katika Kurasa zako mbalimbali za Mitandao Wewe Maulid Kitenge na mpaka Jana Usiku ulikuwa ‘ ukituhimiza ‘ kuwa Sisi Wapenzi wa Michezo vya Redio hasa vile ambavyo huwa unaviendesha Wewe tusikose na wala tusithubutu ‘ Kubanduka ‘ katika 88.9 Wasafi fm kwani Kuanzia Saa 2 Kamili asubuhi hadi Saa 5 Kamili asubuhi utakuwa ‘ unazindua ‘ hicho Kipindi chako Kipya cha ‘ Sports Arena ‘ lakini cha Kusikitisha hadi hivi sasa Saa 2 hii na Robo Kipindi hakijaanza na nasikia tu Kipindi sijui cha Jogoo na ‘ Upuuzi ‘ mwingine.

Sasa nimeamini rasmi kuwa duniani kote anayejua kwenda na muda, ahadi na kuheshimu Ratiba zake na huwa hakosei ni Mzungu tu peke yake. Kama Siku zingine mkiwa mnajua kabisa kuwa hamna huo ‘ Ustaarabu ‘ walionao Wazungu basi msiwe ‘ mnajitutumua ‘ kujifanya nanyi mnauweza ‘ Ustaarabu ‘ Wao.

Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama ‘ Uswahili Uswahili ‘ na ‘ Uwongo ‘ au Mtu kutotimiza ‘ Ahadi ‘ yake. Hata kabla ya Kipindi chako tu Kuanza tayari ‘ umeshanikwaza ‘ na sasa nadhani nitaendelea tu Kusikiliza Kipindi cha ‘ Sports Headquarters ‘ ambacho naona kina ‘ Ustaarabu ‘ na Watu makini na siyo huu ‘ Upuuzi ‘ wako wa Kutuambia tukutegee Masikio Saa 2 hii halafu mnatupigia tu miziki yenu. Hovyo kabisa!

Kwanza hata Li ' Redio ' lenyewe halisikiki vizuri kwani ' Frequency ' yake nayo ni mpaka ukae sehemu nzuri au uipindue pindue Redio au uiweke chini ya Uvungu kama si Dirishani ndipo unaishika vizuri vinginevyo utabaki kusikia Makelele tu. Efm au Clouds fm au Magic fm ambazo zote zina Vipindi vizuri kabisa vya Michezo havina hili tatizo na huu ' Upuuzi ' hivyo kwa dalili hii mpaka unaona GENTAMYCINE ' nimekwazika ' hivi tayari ' Nuksi ' imeshaanza na sijui kama hata Wasikilizaji nao mtawapata wengi. Yaani naamka mapema Kujiandaa Kusikiliza Kipindi cha Michezo nakutana na Kipindi kinaongelea Kuku kwahiyo umeambiwa / mmeambiwa Sisi Wasikilizaji wenu / wako mliotuambia tusikose Kusikiliza Kipindi leo ni Kuku?

Ulipotaja Mzungu ndiyo mwenye kutunza mda ndiyo nilipoishia kusom
 
saa mbili asubuhi unapata muda wa kusikiliza radio..shughuli zako za kukuingizia kipato unazifanya saa ngapi au huna kazi za kufanya?
Hata Mimi nimeshangaa Ila nasikia kajamaa ni dereva wa daladala mbagala to goms
 
Sasa kama kumbe unajua fika Mimi ni Dereva wa DalaDala kwani huwa unanisumbua Maji Mafupi ( PM ) mara kwa mara ukinitaka niwe Bwana / Basha wako na tokea nikukatalie sasa unanichukia? Msimamo wangu Kwako bado upo vile vile Sikuhitaji na acha Kujipendekeza Kwangu. Halafu Wanaume / Mabasha hatujaisha hivyo sijui kwanini Wewe unanihitaji Mimi tu.
 
Hata Mimi natamani mno Kumjua japo ninachojua tu ni kwamba hapa JamiiForums kuna ' Member ' maarufu aitwae An Eagle lakini huyu EAGLE ndiyo namwona leo ila kama yupo basi ni jambo la kheri pia. Nampenda sana na namkubali mno huyo ' Member ' sijui An Eagle hadi imelazimika sasa niige hadi ' Fonts ' zake.
An eagle ndio anakuigia wewe..sema kwa sababu wewe ni popoma umeshindwa kujua kwamba jamaa anapita mule mule unapopita wewe..itakuwa umemuinfluence sana huyu...
 
Kajamaa nikakilaza Fulani amazing alafu maskini kanajiona kajanja balaa, kumbe maamuma

Aliyekupa Wewe Utajiri ndiyo amenipa Mimi huu Umasikini tatizo liko wapi? Ila ingependeza zaidi ili tuamini Utajiri wako ungetuwekea hapa unamiliki nini kama ' Assets ' za huko Benki una Akiba ya Kiasi gani ili tuweze Kuamini kwani kuna tatizo kubwa hapa JamiiForums kila ' Member ' kasoro Mimi tu GENTAMYCINE anasema Yeye ni Tajiri ( Milionea )

Sasa kama ulijua Mimi ni Mwanaume Masikini kwanini kutwa ulikuwa unanisumbua Maji Mafupi ( PM ) kuwa unanitaka ' nikubokoe ' ila Mimi nimekutalia lakini bado tu unanilazimisha? Kwahiyo unadhani kuonyesha Kwako Chuki Kwangu Mimi hapa Maji Marefu ( Jukwaani ) ndiyo nitabadili Uamuzi wangu juu yako? Nasema tena SIKUTAKI na sijui kwanini unalazimisha Mimi niwe Mumeo / Basha wako wakati Wanaume tumejazana tele hapa.
 
Now kipo hewani nasikiliza apa

Hata Mimi nakisikiliza vile vile Mkuu. Jamaa wanatiririka na wanaserereka vizuri sana. Kwa ile ' demo ' yao niliyoisikia jana na kwa ' Chemistry ' yao ambayo haijumuishi tu Wachambuzi mahiri bali pia ina Watu wenye ' Mvuto ' wa Kipekee na ' Influence ' kubwa kwa Wasikilizaji na Sisi wanamichezo. Efm na ' Sports Headquarters ' na ' E Sports ' yao wajipange na wasipojiimarisha zaidi Kifo chao ' Kiushindani ' ndiyo kimeshawadia hivyo.
 
Kabisa mkuu mbali na ujuzi wao pia wana mvuto haswa.. Kwa kifupi wanajua nini wanafanya
 
Nimepoteza Marafiki wengi na hata Kushindwana na Mademu wengi kutokana tu na Suala zima la Muda ( Ahadi ) na Kujali Ratiba. Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nakipenda na nakiheshimu kama kwenda na muda, kuwa Mtu wa Ahadi na Kujali / Kuheshimu Ratiba. Ukitaka ' nikuchukie ' na ' tugombane ' Wewe niambie Uwongo au nipoteze muda na hapo ndiyo utanijua vizuri na huenda hata ' ukanichukia ' Maisha yako yote.

Kuna Demu Mmoja nakumbuka niliwahi Kupendana nae mno tu na alijua kuwa Mimi ndiyo nitakuja kuwa Mumewe lakini kuna Siku tulikubaliana kukutana muda fulani ( siyo kwenda Kufanya Mapenzi ) na nilifika eneo husika dakika 15 kabla ya muda wetu na Yeye alifika dakika 45 baadae tofauti na muda tuliokubaliana na kilichofuatia pale pale nilimpa ' Makavu ' yangu na kuwambia Mimi na Yeye Safari yetu ndiyo imeishia pale rasmi. Hadi hivi leo haamini Mkuu japo nakiri kuwa alikuwa ni Mwanadada Mmoja Mrembo sana lakini sikuliangalia hilo kwani GENTAMYCINE Kiasili ni Mtu wa ' PRINCIPLES ' na nitakuwa hivyo hadi nazama zangu Shimoni Kaburini pale Mwenyezi Mungu akiniita Siku aliyonipangia.

Na kilichonikasirisha zaidi kwa huyo Demu ni kwamba nakumbuka kabla kabisa ya Kukubaliana nae kuhusu muda wetu wa Kukutana nilimuuliza zaidi ya mara tano kuwa je, ana uhakika huo muda atauweza na atawahi nae kwa Kujiamini kabisa na ' Mikogo ' kibao ( kama mnavyowajua Wanawake wetu / Dada zetu ) akanihakikishia kuwa atawahi lakini hatimaye hakutimiza Ahadi yake na Urafiki wetu ukafiki Kikomo hapo hapo.

Desturi yangu mara zote nikiwa napanga ' appointment ' na Mtu yoyote yule huwa napenda kumpa Yeye nafasi ya Kupanga au Kuchagua muda husika ili ' ajinyonge ' mwenyewe na kama asipoenda na huo muda basi Kazi yangu ya Kumpa ' Makavu 'iwe rahisi na Kumalizana hapo hapo. Kama unajua huna uhakika basi usiniahidi muda wa Kukutana / Kuonana na huwa napenda mno wale Watu ambao hufika mahala dakika 15 au hata 30 kabla ya ule muda wetu tuliokubaliana. au hata kama unaona utachelewa basi nijulishe mapema hapo nitakuheshimu kuliko unanichelewesha halafu hunipi taarifa zozote za sababu ya Kuchelewa Kwako.

Sasa kwa mfano kama Maulid Kitenge na Kituo chake cha Wasafi fm kumbe walijua kuwa kwa leo Jumatatu hii hawatakuwa na Kipindi muda ule aliotuambia tokea Siku ya Alhamisi katika Kurasa zake mbalimbali za Mitandao kwakuwa watakuwa katika Sherehe za Uzinduzi kama ambazo zinaendelea sasa basi hata Jana tu kupitia Kurasa zake zile zile angetuambia au hata Kutuomba Radhi Wasikilizaji wake tofauti na ambavyo amefanya na ndiyo maana hata Mimi nimekuwa ' Mkali ' hivi Kwake / Kwao. Mawasiliano ni jambo zuri na jema sana na kwa hili kidogo ' PR ' ya Wasafi fm ' imenajisiwa ' hasa kama Wewe ukiwa ni Mwana Taaluma ' tukuka ' wa Mawasiliano ya Umma na Uhusiano. Hili Kosa lisijirudie tena tafadhali.
Una majeraha ya ndani we we..na element za mwijaku na mbasha wanaume wa ukwl hawaongei ongei hovyo. .. Si walalamishi sifa ya mwanaume ni pamoja na kutokuongea sana.
..Ivi una kile kikoremeo cha kiume kwl?
 
Katika Wanaume wakisema wajitokeza nawe utajitokeza? Hivi ' Mashoga ' nao huwa wanajulikana kuwa ni Wanaume kweli?
 
Nimepoteza Marafiki wengi na hata Kushindwana na Mademu wengi kutokana tu na Suala zima la Muda ( Ahadi ) na Kujali Ratiba. Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nakipenda na nakiheshimu kama kwenda na muda, kuwa Mtu wa Ahadi na Kujali / Kuheshimu Ratiba. Ukitaka ' nikuchukie ' na ' tugombane ' Wewe niambie Uwongo au nipoteze muda na hapo ndiyo utanijua vizuri na huenda hata ' ukanichukia ' Maisha yako yote.

Kuna Demu Mmoja nakumbuka niliwahi Kupendana nae mno tu na alijua kuwa Mimi ndiyo nitakuja kuwa Mumewe lakini kuna Siku tulikubaliana kukutana muda fulani ( siyo kwenda Kufanya Mapenzi ) na nilifika eneo husika dakika 15 kabla ya muda wetu na Yeye alifika dakika 45 baadae tofauti na muda tuliokubaliana na kilichofuatia pale pale nilimpa ' Makavu ' yangu na kuwambia Mimi na Yeye Safari yetu ndiyo imeishia pale rasmi. Hadi hivi leo haamini Mkuu japo nakiri kuwa alikuwa ni Mwanadada Mmoja Mrembo sana lakini sikuliangalia hilo kwani GENTAMYCINE Kiasili ni Mtu wa ' PRINCIPLES ' na nitakuwa hivyo hadi nazama zangu Shimoni Kaburini pale Mwenyezi Mungu akiniita Siku aliyonipangia.

Na kilichonikasirisha zaidi kwa huyo Demu ni kwamba nakumbuka kabla kabisa ya Kukubaliana nae kuhusu muda wetu wa Kukutana nilimuuliza zaidi ya mara tano kuwa je, ana uhakika huo muda atauweza na atawahi nae kwa Kujiamini kabisa na ' Mikogo ' kibao ( kama mnavyowajua Wanawake wetu / Dada zetu ) akanihakikishia kuwa atawahi lakini hatimaye hakutimiza Ahadi yake na Urafiki wetu ukafiki Kikomo hapo hapo.

Desturi yangu mara zote nikiwa napanga ' appointment ' na Mtu yoyote yule huwa napenda kumpa Yeye nafasi ya Kupanga au Kuchagua muda husika ili ' ajinyonge ' mwenyewe na kama asipoenda na huo muda basi Kazi yangu ya Kumpa ' Makavu 'iwe rahisi na Kumalizana hapo hapo. Kama unajua huna uhakika basi usiniahidi muda wa Kukutana / Kuonana na huwa napenda mno wale Watu ambao hufika mahala dakika 15 au hata 30 kabla ya ule muda wetu tuliokubaliana. au hata kama unaona utachelewa basi nijulishe mapema hapo nitakuheshimu kuliko unanichelewesha halafu hunipi taarifa zozote za sababu ya Kuchelewa Kwako.

Sasa kwa mfano kama Maulid Kitenge na Kituo chake cha Wasafi fm kumbe walijua kuwa kwa leo Jumatatu hii hawatakuwa na Kipindi muda ule aliotuambia tokea Siku ya Alhamisi katika Kurasa zake mbalimbali za Mitandao kwakuwa watakuwa katika Sherehe za Uzinduzi kama ambazo zinaendelea sasa basi hata Jana tu kupitia Kurasa zake zile zile angetuambia au hata Kutuomba Radhi Wasikilizaji wake tofauti na ambavyo amefanya na ndiyo maana hata Mimi nimekuwa ' Mkali ' hivi Kwake / Kwao. Mawasiliano ni jambo zuri na jema sana na kwa hili kidogo ' PR ' ya Wasafi fm ' imenajisiwa ' hasa kama Wewe ukiwa ni Mwana Taaluma ' tukuka ' wa Mawasiliano ya Umma na Uhusiano. Hili Kosa lisijirudie tena tafadhali.
Daah mkuu kwa jinsi ulivyotiririka hapa.. Unaonekana kabisa ni mtu wa misimamo mikali sana.. Sipati picha kama ungekuwa lecturer unawaambia wanachuo jamani kesho kipindi changu kitaanza saa kumi na mbili na nusu,, sawa wanakuitikia sawa,, Jitahidini muwahi mapema sawa lecturer..

Kesho yake majamaa yanachelewa unakuta wapo 15 kati ya 40
Sijui ungewafanya nn??
 
Ningewafukuza wote na ningebaki Mimi na Ubao tu tunajifundisha na muda wangu ukifika naondoka zangu kuendelea na Vipindi vingine. Kuhusu kuwa na Misimamo Mikali hujakosea hivyo ndivyo nilivyo. Nikiamua langu ndiyo hilo hilo na huwa nikisema ndiyo au hapana kwa Kitu chochote / Jambo lolote huwa ninamaanisha kweli. Halafu nina tatizo moja Kubwa na ambalo huwa linanigharimu na hata Kuniongezea Maadui na Kuchukiwa ambalo ni Kutokuwa Muongo au Mnafiki popote pale. Hata kama Wewe ni Rafiki / Ndugu yangu usitegemee nikikuona / nikikushuhudia ama Unaiba au umefanya Jambo baya lisilompendeza Mwenyezi Mungu nikiulizwa eti nitakubeba kwa Kukutetea bali nitanyoosha tu Maelezo yangu hata kama yatakugharimu na yatasababisha Mimi na Wewe Urafiki wetu ufikie Kikomo. Napenda mno Ukweli, Uwazi na Utaratibu bora wa Kimaisha na Mtu kufuata vyema Sheria na taratibu za nchi au eneo husika.

Na huyu ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' Mkuu.
 
Back
Top Bottom