Naona mazoea yataniletea matatizo

Naona mazoea yataniletea matatizo

Kwakosa gani kwani nimemla ?
Maana yake unaendelea kufichwa?

20241116_161623.jpg
 
Wapi umeona nimemla sasa?
peleka nguo zako tena basi akakufulie, na kisha na msosi wa leo akupikie na samaki, mboga za majani na maziwa, ili umdhulumu bwana wake na ufurahie wewe hicho kitonga,

sawa gentleman? 🐒
 
peleka nguo zako tena basi akakufulie, na kisha na msosi wa leo akupikie na samaki, mboga za majani na maziwa, ili umdhulumu bwana wake na ufurahie wewe hicho kitonga,

sawa gentleman? [emoji205]
Sasa msosi nao wakumkasirikia mtu
 
Kwa aina ya vijana tulionao, hii nchi itaazidi kua ngumu kila kukicha wallah...🤨
 
Back
Top Bottom