Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]


Screenshot_20210530-133238.jpg
 
Huyu ndiye Mchungaji?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama itakuwa ameitwa na Mungu kwenye hiyo huduma Basi kusudi la Mungu litasimama lakini sitegemei iwe kuwa si wote wasemao Bwana. Bwana ....,,,,,,,,,

Inashangaza [emoji14][emoji14][emoji14]
 
Kwani hawa ndo waliozungumziwa kwenye biblia kuwa watakuja manabii wa uongo au kuna wengine??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu mnawaza sadaka tu hamfikilii kuhusu huduma, inayoendeshwa
"Shambani mwa bwana mavuno ni mengi watendakazi ni wachache". Waacheni watu wakafanye kazi ya MUNGU aliyewaita, sizani kama kwa level aliyokuwepo kama alikuwa anakosa chochote alichokuwa akihitaji na laiti mngejua ugumu uliokatika utumishi sizan kama hata mgewaza hzo sadaka.
 
Back
Top Bottom