Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Opotunity n nying sana ukishasajl kanisa ndio mana mnaona yanafumuka kila kona kaz n kwako kujua unaabudia wap na unamwabud nan.. hawa wakiwa na vibal wanapitisha magar yao kwa majina ya makansa bila kodi wanapata network za kwenda ulaya na kujilza mbele ya makanisa yenye mwelekeo kama yao wanapewa fund za kuja kujenga makansa na shule za taasisi zao kwa nembo ya taasis kusaidia watoto na kuabudu mwsho wa siku n hela ndio inayoangaliwa na sio themes ya wokovu. by the way neno ni pana na kila mmoja anauhuru wa kultangaza ndio mana hata mlev anaweza kukupa mstari wa biblia na ukakuvusha kiiman

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Watu mnawaza sadaka tu hamfikilii kuhusu huduma, inayoendeshwa
"Shambani mwa bwana mavuno ni mengi watendakazi ni wachache". Waacheni watu wakafanye kazi ya MUNGU aliyewaita, sizani kama kwa level aliyokuwepo kama alikuwa anakosa chochote alichokuwa akihitaji na laiti mngejua ugumu uliokatika utumishi sizan kama hata mgewaza hzo sadaka.
Hawa walokole hawatoagi msaada hata wa gunia la mahindi.
 
Kwangu mimi naona ni sawa tu
Wananchi mnacomplain kwa sababu mnawajua hawa jamaa katika tasnia ya comed yani pilipili na Masanja ndiyo maana mnashindwa kuheshimu kile walichoamua kufanya ila naamini kuna wachungaji ambao mnawaheshimu sana na wanahistoria ngumu sana ni vile tu hamjui historia zao kama hawa ambao ni maarufu lakini bado nikiangalia sioni kama wana mambo mabaya waliowahi kufanya
 
Sijui Imekaa vipi katika ukristo.. Yaani mwenye uwezo wa kuongea sana na kujua mistari miwili, mitatu ya Biblia anajiita mchungaji na kuanzisha kanisa.... Ni sawa na uwe na uwezo wa kuanzisha shule na kujipa ualimu wakati ualimu ni lazima upitie mafunzo
 
Kule ndo kuna pesa za uhakika na hazina kodi wala ushuru.

Serikali ni lazima ije na mkakati mpya wa kuthibiti hizi taasisi za dini kwani zinaweza kuwa vichocholo vya kukwepea kodi!!! Nchi inaweza kukosa kodi nyingi kupitia hawa wapigaji!!! Huoni wakina Masanja wanaingiza magari BMW bila kulipa kodi sababu ya dini uchwara kupata exemption!!!
 
Watu mnawaza sadaka tu hamfikilii kuhusu huduma, inayoendeshwa
"Shambani mwa bwana mavuno ni mengi watendakazi ni wachache". Waacheni watu wakafanye kazi ya MUNGU aliyewaita, sizani kama kwa level aliyokuwepo kama alikuwa anakosa chochote alichokuwa akihitaji na laiti mngejua ugumu uliokatika utumishi sizan kama hata mgewaza hzo sadaka.
Hawa wapigaji tu, hawatosheki na ndio maana kila leo wanaongezeka na kuwaongezea waumini maumivu/umaskini!!!
 
Ila jamani!!
Kuna watu wakavuuuuu, kweli leo Mc Pilipili ba mkewe wanapanda milimani na kundi la watu, na cameraman wanashika vikuni kuni, watu wanajinyong nyonga wanajipiga piga.
Leo Bio ya Insta, inaongezeka Pastor.


Hahahhahahahhahaha dah!!
 
Back
Top Bottom