Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Huyu ndiye Mchungaji?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama itakuwa ameitwa na Mungu kwenye hiyo huduma Basi kusudi la Mungu litasimama lakini sitegemei iwe kuwa si wote wasemao Bwana. Bwana ....,,,,,,,,,

Inashangaza [emoji14][emoji14][emoji14]
 
Kwani hawa ndo waliozungumziwa kwenye biblia kuwa watakuja manabii wa uongo au kuna wengine??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu mnawaza sadaka tu hamfikilii kuhusu huduma, inayoendeshwa
"Shambani mwa bwana mavuno ni mengi watendakazi ni wachache". Waacheni watu wakafanye kazi ya MUNGU aliyewaita, sizani kama kwa level aliyokuwepo kama alikuwa anakosa chochote alichokuwa akihitaji na laiti mngejua ugumu uliokatika utumishi sizan kama hata mgewaza hzo sadaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…