Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Huyu ndiye Mchungaji?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama itakuwa ameitwa na Mungu kwenye hiyo huduma Basi kusudi la Mungu litasimama lakini sitegemei iwe kuwa si wote wasemao Bwana. Bwana ....,,,,,,,,,

Inashangaza [emoji14][emoji14][emoji14]
Kwani we ndo una vipimo mkuu vya kujua walioitwa na ambao hawajaitwa?



Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanapenda sn kuongea!
Km ni rahisi na wao waanzishe!

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Dah hawajui tu jinsi ilivyokazi kuhudumia roho na nafsi ya mtu ikawa satisfied,bila kuongozwa na Mungu hufiki mbali.
 
Hii dunia ukimtumikia Mungu wanakudhihaki......ukienda kwa shetani wanajifanya wanakukosoa


Kama kipindi cha Mtume Paulo kungekua na jf basi kuna uzi ambao ungesomeka

"YULE SAULI ALIYEKUWA AKIWAUA WANAFUNZI WA KRISTO NAYE AWA MTUME!!!!

Hapo bila shaka comment ya kwanza ingekuwa
Hii
"ameona wanapiga hela na yeye ameamua ajiunge nao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…