Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Hawa roman catholic wanaodeclare watakusamehe dhambi kisa amevaa joho na ameend academy waacheni wahubir na wao
Kinachozungumziwa ni demokrasia, kwenye hizo taasisi maamuzi hufanywa na kupitishwa na wengi. ..na ni baada ya majadiliano.

Sasa huku kwa hawa Mapasta wenu anachoamka nacho siku hiyo ndio mnatekeleza...akija asubuhi akiwaambia ameoteshwa na Mungu kuwa mumchangie anunue Vogue hakuna wa kuhoji.

Na kwenye hizo taasisi rasmi wanarudisha sana kwa Jamii, wanajenga Hospitali, Shule n.k...sasa kahoji pesa ya Mzee wa Upako akutimue na bastola.
 
Hapa ndipo ninaungana na Kagame kudhibiti makanisa uchwara
 
Ukitaka kupiga hela za waafrika watajie Mungu tu, yaani ukiwa na makondoo wako 200 kila wiki, lazima uishi vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie jomoneeeh khaaah.
 
Samahani, Mkuu!
Naomba unijazie jazie nyama hapo Yule... aliyeji "commit suicide".
 
Mbona una makasiriko sana ..ulikua unasomea umishenari wakakufukuza nini? Maana unavyoandika utadhani wewe ndo mtakatifu wa mwisho usio na mawaa
 
Leso ya kawaida 500 ya upako 2000

Chumvi ndogo ya kawaida 250 ya upako 1000
Maji safi ya lita 1 500 ya upako 1000
Haya mafuta kachupa kadogooo 1000
Huenda haya mafuta ndio yanasababisha mafuta ya kula yapande bei
Ukute wanayanunua wao kwa jumla halafu wanakuja kuyauza makanisani kwao
 
Duu jiwe gizani hili

Hata Mimi sijui tuambia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…