GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan hana makusudi ya kurejesha Makao Makuu ya Serikali jijini Dar es Salaam na kwamba ameendelea kutekeleza na kutenga fedha nyingi zaidi kwa ajili ya Dodoma kuliko maeneo mengine hapa nchini.
Chanzo: habarileo_tz
Mwambieni akae barabara ya Dodoma - Dar leo Ijumaa awaone Watendaji wake Wakuu wanavyopishana kuja (kuwahi) Dar es Salaam 'Kula Bata' zao na Jumapili Usiku wanarejea Makao Makuu Dodoma kuwahi Utendaji wao wa Jumatatu. Acheni masihara nyie Dar es Salaam ndiyo Tanzania ikifuatiwa na Mkoa wa Mara kwa Starehe.