Naona mtume kaanza kufanya uganga hadharani? taratibu mtanielewa, anagawa mchanga wa baraka huko Arusha.

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Wakuu kwema?

Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani.

Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

Nimeona habari huko Arusha Mtume wetu pendwa anagawa mchanga wa baraka
downloadfile-7.jpg

Naomba niweke wazi huu ni uganga kwa uzoefu wangu huku gamboshi

Wakuu msiogope kwenda kwa babu zenu haya mambo hayahitaji mihemko

Maisha yana siri nyingi sana

====================
Pia soma Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa
 
Wakuu kwema?

Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani.

Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

Nimeona habari huko Arusha Mtume wetu pendwa anagawa mchanga wa barakaView attachment 3102886

Siyo lazima uchukue
 
Jamaa anatafuta Riziki kupitia Upumbavu wa Ndugu zetu Watanzania.

Sitamani kumsema vibaya maana ki ukweli amepambana sana na alihangaika hadi kufika level ambayo chochote anachouza anapata hela . Yaan huyu hata akisema mavi yake ni baraka watu watapanga foleni kununua. Hiyo level sio kila mtu anaweza ifika.
 
Watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa!
Sio kwa kukosa maarifa wewe ndio hauna maarifa

Hao watu wote sio wajinga

Mwerevu anqchukuq huo mchanga kwa mtume ni bure kabisa kisha anaenda kufqnya majaribio aone kama ni kweli au ni uongo

Hapo kati yako na hao watu nani mjinga?
 
Tetea tuu,mkuu,Bado:Watu wangu waangamia kwa kukosa Hekima na Maarifa Iko palepale!
 
Yaan huyu hata akisema mavi yake ni baraka watu watapanga foleni kununua. Hiyo level sio kila mtu anaweza ifika.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu kwema?

Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani.

Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

Nimeona habari huko Arusha Mtume wetu pendwa anagawa mchanga wa barakaView attachment 3102886

Naomba niweke wazi huu ni uganga kwa uzoefu wangu huku gamboshi

Wakuu msiogope kwenda kwa babu zenu haya mambo hayahitaji mihemko

Maisha yana siri nyingi sana

====================
Pia soma Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa
Hakika wananchi wamegeuzwa misukule kutokana na umasikini sasa wanahangaika namna ya kuishi hata kwa mlo mmoja kwa siku. Mungu wasaidie watanzania.
 
Back
Top Bottom