Naona ndoa siku hizi zimepungua sana

Naona ndoa siku hizi zimepungua sana

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto kubwa ni ipi hasa

Au ndoa imekuwa biashara

Au wanawake wanawekeza kwenye ndoa ili baadae mje mgawane au

Naomba kuwakilisha
 
Unawakilisha au unawasilisha?

Ni wapi huko ambapo ndoa zimepungua sana? Unauongelea mji gani?
Naona hata ma group ni kimya hata kanisani sio kama zamani watangaze hata ndoa 3 au mbili hata ile kuna shughuli mahali hamna
Ndoa ni topic ngumu sana kuijadili.
Mi naona zile sherehe za harusu zomepungua hata kumbi za harusi hazina wateja kama miaka ya 90 na 2000.
Kataa ndoa kila Mechi wana point tatu
 
Acha uongo, kadi za michango hadi tunalalamika. Leo tu naona hapa mtaani harusi nne.
 
Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto kubwa ni ipi hasa

Au ndoa imekuwa biashara

Au wanawake wanawekeza kwenye ndoa ili baadae mje mgawane au

Naomba kuwakilisha
Masuala ya ushoga, wanaume kukwepa majukumu n.k ni narratives tu za watu wasiotaka kutumia akili zao kwa ufasaha. Sababu kubwa ya kasi ya wanaume kuipa kisogo ndoa ni kwa sababu risk-reward ratio hailipi. Jiulize swali dogo tu. Ndoa ina benefits zipi kwa mwanaume kwenye kizazi cha sasa?

Men did the maths. They give everything. Their tine, money and efforts, and one day she announce she is bored or that you are not doing enough, and then they take it all away.

It's not fear. It's logic. Men looking at the odds and realizing they would be idiots to sit down at the table. It's a calm, well-thought out and rational decision that says: this isn't worth it anymore
 
Back
Top Bottom