Unawakilisha au unawasilisha?Naomba kuwakilisha
Naona hata ma group ni kimya hata kanisani sio kama zamani watangaze hata ndoa 3 au mbili hata ile kuna shughuli mahali hamnaUnawakilisha au unawasilisha?
Ni wapi huko ambapo ndoa zimepungua sana? Unauongelea mji gani?
Kataa ndoa kila Mechi wana point tatuNdoa ni topic ngumu sana kuijadili.
Mi naona zile sherehe za harusu zomepungua hata kumbi za harusi hazina wateja kama miaka ya 90 na 2000.
Dawa ni kuzaa na mwanamke lakini usifunge ndoa.Naona hata ma group ni kimya hata kanisani sio kama zamani watangaze hata ndoa 3 au mbili hata ile kuna shughuli mahali hamna
Kataa ndoa kila Mechi wana point tatu
Mbona ndoa zinafungwa sana tu.
Sherehe za ndoa zimepungua, fanya kautafiti kadogo utajiridhisha. Kwenye cycle yako sasa hivi kuna ndoa ngapi unatakiwa uchangie.Watu wanaoana sana tu huku mitaan
Takwimu zinaonyesha namba za ndoa zinashuka na namba za talaka zinapandaWatu wanaoana sana tu huku mitaan
Mbona shuhuda mnatoa wanawake tu. Upande wa wanaume wanakili ni kweli ndoa zinapunguaAcha uongo, kadi za michango hadi tunalalamika. Leo tu naona hapa mtaani harusi nne.
Masuala ya ushoga, wanaume kukwepa majukumu n.k ni narratives tu za watu wasiotaka kutumia akili zao kwa ufasaha. Sababu kubwa ya kasi ya wanaume kuipa kisogo ndoa ni kwa sababu risk-reward ratio hailipi. Jiulize swali dogo tu. Ndoa ina benefits zipi kwa mwanaume kwenye kizazi cha sasa?Habari wakubwa naona siku hizi ndoa zimepungua sana hata ile michango ya harusi ilikuwa kama ni lazima wakati ni hiyari ukiangalia pia vijana wana left group na wanazidi kupunguza idadi changamoto kubwa ni ipi hasa
Au ndoa imekuwa biashara
Au wanawake wanawekeza kwenye ndoa ili baadae mje mgawane au
Naomba kuwakilisha