Naona ni idea nzuri kuishi mkoa tofauti na mkeo

Naona ni idea nzuri kuishi mkoa tofauti na mkeo

Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote Mpaka jumatatu asubuhi ndo mimi narudi kazini.

Kwanza nitakuwa nimeepusha mengi maneno maneno yatapungua ya mtaani ambayo anaweza akapewa na vilevile mazoea yatapungua nahisi ndo mahusiano yatadumu ila pia ntakuwa nakula bata huo mkoa ninaotaka kwenda kila weekend uzuri nauli ni 5000 tu na km 100 tu.
Kama hamna watoto ni SAWA kabisa ila kama mna watoto tegemea watoto kuja kuwa na tabia mbaya mbaya zoteee unazozijua
 
Back
Top Bottom