Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Sijambo dearHujambo dear
Sijambo dearHujambo dear
Nipo sema mambo mengi ila mdogo mdogo....Nimefurahi kusikia hivyo
Maana unapotea sana jukwaan
Red black nashukuru sana kwa kujali , ila sijui kama wewe una hata level za kunizungumzia mimi asee😅
Au ni vile tuna kutana humu JF tu , ndio mnaona mnauwezo wa hata kukutana na kila members humu🤣
Ndio nyie nyie members mnaomba 2000 humu mnataka kuniona au ni wapi hao?😅
Sawa usijali ubarikiwe sana na ufanikiwe sanaNipo sema mambo mengi ila mdogo mdogo....
Kwa Nini unasema,akamchoma mkuki,akafa!Makavu live😂😂😂 heri Mimi sijasema🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🙆🏿♂😂
Jamaa currently anafokea sana watu asee!
😄kumbeYaani kipindi kile jamaa ana like kila post nilijua ni lizee fulani liko tu limetulia linakuwa pensheni kumbe ni mu r chuga ambaye anakeshaga anakula mbege sasa kupata stimulus anakeshaga kulike post za jf.
Sasa limekuziwa ego inakuja na ulimbukeni wake humu. Huyu Nakuhakikishia, atakuwa daktari huyu, akitoka kazini anapitiliza baa kupumzisha maumivu ya kufanya kazi kwa miaka 50 straight, hana muda na attention ya wife, hana mtu wa kumliwaza Inshort anajifanya tu humu.
Eeenh🙆🏽♀️Huu uzi niliandika lini😅
Utani wa ngumiUtani wa pombe tu 😄
🤣🤣🤣Red black anataka kuoa mwezi wa 9, hivyo wenye D tatu tumeshajua kwa nini anajisogeza 🤣