Sijambo broTina haujambo
Asante sn..Salama madam mzuri , karibu pombe tuchachue koromeo 😅
Chapchap ushushe uzi wa mabango😎Mapema kabisa , nimepata mda nasuuza koo na bia ili nipate tikila moja matata😅
Wengine bado broHahahaah mda wa kazi umeisha bhana 😆
Oh, kama utani sawa.Kichambo ni nini? Huo utani tu Red black mwanangu sana
Hatuwezi ongea lugha moja hebu piga vitu kwanza😆 mabango kivip tena😅
Upi huo!?Wamefuta uzi wangu bora wa muda wote😪
Kwani ni mtu huyo sio mashine mkuuKipindi kile una like tu waja wakaanza kukulazimisha uwe unachangia uwe unachangia
Ona sasa wameona yaliyomo yamo wanalalamika
Hahaha
Ayatollah nazidi kuzingumza na waliomla kichwa ili kubaini tatizo. Natumai ataachiwa huru.
Watu wakubwa nyinyi tajiri kaachiwa hata dk 5 hazijatimiaAyatollah nazidi kuzingumza na waliomla kichwa ili kubaini tatizo. Natumai ataachiwa huru.