Naona sasa mmeelewa kuwa siasa sio chuki au papara za mkumbo. Visasi na mihemuko imekuwa inawaghalimu sana nyie.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi.

Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo.

Sasa mlidhani mtawakomoa?

Subirini mpaka mtapokuwa na akili timamu ndio mtajua siasa sio mihemuko

Acheni mihemuko ya kisiasa
 
Kwani Kangara ya kuonja imekwisha🤔
 
nimeona bonge la TX kwa nyuma, kweli bint anakula life
 

Mahakamani wameshindwa kwenye chama wameshindwa. Ngoja wabebwe na huyo Samia wao tuone mwisho wake.
 

Mbona mbwa wamechoka hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…