Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa wanaacha.
Hajui. Msamehe bureUnajua wanailipia sh. Ngapi hio plate no?Au unadhani Yale Ni matako kila mtu anayo sio?
Huu ukorofi sasa π€£π€£π€£
Soma kuhusu unique featuresInawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa wanaacha.
Inaweza kulipuka jamaniHuu mwezi Niko najitafuta na Corolla yangu lazima niiweke jina langu
Ulimbukeni ni wewe hapo kupangia matumizi halali ya wanaume wenzio wakati hela hukuwasaidia kutafuta. Tabia hizi wanatakiwa kuwa nazo wanawake kwenye ndoa tu.Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa wanaacha.
Hii hii ya mama saπ― πππ π π π Unaijua nchi unayoizungumzia lakini?!