Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo mkoa gani?Wanaweka ila za kupiga nazo picha tu.
Mi sijawahi pishana na gari ya mtu wa kawaida ipo na names
Lakini top gear nalo ni jina la vipindi vya magari..... mnafananafanana tu wote wamoja. Mmoja picha mwingine jinaNi kwa mfano Mimi hapa nakuona Wewe zwazwa hatari kwa kuweka avatar ya gari.
Dar huku chanika mkuuUpo mkoa gani?
Hakuna mwenye pesa anafanya huo upumbavu. Hao ni malimbukeni. Fikiria mtu yeyote mwenyepesa anayekuijia kichwani haraka haraka halafu angalia kama anafanya huo ushamba.Sijui kwanini wasio na pesa huonekana kuwachukia wenye pesa mazeeee...🤔
Ngumu kuona. Ukija town nishtue.Dar huku chanika mkuu
Sahivi 5M kwa 3 years.Kama kuweka plate namba ya jina ni 10million basi huo ni ulimbukeni wakuu
Gia ya 1,2,3,4,5 ipi Ni top gear?Lakini top gear nalo ni jina la vipindi vya magari..... mnafananafanana tu wote wamoja. Mmoja picha mwingine jina
Sawa mkuu kama posta hivi sio..Ngumu kuona. Ukija town nishtue.
Hapana mkuuBila shaka unashinda ndani.
Corolla milioni 3.5 plate number milioni 5Huu mwezi Niko najitafuta na Corolla yangu lazima niiweke jina langu
Daah 5m kweli aiseeeee for nathing mkuu hapoSahivi 5M kwa 3 years.
Wahaya nimewanyoshea mikono juu
Mbona Dewji Vogue yake plate number kaweka MOHakuna mwenye pesa anafanya huo upumbavu. Hao ni malimbukeni. Fikiria mtu yeyote mwenyepesa anayekuijia kichwani haraka haraka halafu angalia kama anafanya huo ushamba.