Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

Hakuna mwenye pesa anafanya huo upumbavu. Hao ni malimbukeni. Fikiria mtu yeyote mwenyepesa anayekuijia kichwani haraka haraka halafu angalia kama anafanya huo ushamba.
Mkuu....
Kwani we nimaskini ama tajiri??
 
Kama kitu huwezi kufanya usiwaone wengine washamba na wewe ndio mjuzi wa vyote, Kila mtu afanye kitu kinachompa furaha as long as havunji Sheria ya nchi, jifunze kufurahia wengine so far Mimi nakuona wewe ndio limbukeni
 
Screenshot_20240603-195037.png
 
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.

Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu.

Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa wanaacha.
Sio sahihi na wanaoweza kufanya hivyo ni akina nshomile🤣
 
Back
Top Bottom