demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #21
Kucheza mechi za kirafiki sio kosa ....KAMA VIPI HAO MAMELODI WACHEZE NA TIMU ZOOOOTE ZA LIGI! WHY KUSIMAMISHA LIGI KWAAJILI YA SIMBA NA YANGA TU?? HUU NI UDHALILISHAJI WA LIGI YETU
Kosa ni wakati ambao unaodhaniwa ni sahihi kucheza hizo mechi za kirafiki....
Haijarishi anacheza dhidi ya Azam , Majimaji au Lipuli...
Cha msingi ni kutozingatiwa kwa wakati/muda maalumu wa hizo mechi za kirafiki...