Naona si uungwana kusimamisha Ligi Kuu ili kupisha mechi za kirafiki dhidi ya Mamelodi Sundown.

Naona si uungwana kusimamisha Ligi Kuu ili kupisha mechi za kirafiki dhidi ya Mamelodi Sundown.

KAMA VIPI HAO MAMELODI WACHEZE NA TIMU ZOOOOTE ZA LIGI! WHY KUSIMAMISHA LIGI KWAAJILI YA SIMBA NA YANGA TU?? HUU NI UDHALILISHAJI WA LIGI YETU
Kucheza mechi za kirafiki sio kosa ....

Kosa ni wakati ambao unaodhaniwa ni sahihi kucheza hizo mechi za kirafiki....

Haijarishi anacheza dhidi ya Azam , Majimaji au Lipuli...

Cha msingi ni kutozingatiwa kwa wakati/muda maalumu wa hizo mechi za kirafiki...
 
Acheni maneno! Kwani simba kucheza na Mamelod ni kutafuta ubingwa wa CAF.Mbona swala hili liko wazi tu.Kwanini watu mnapenda kuchafua hewa humu jukwaani?
 
Acheni maneno! Kwani simba kucheza na Mamelod ni kutafuta ubingwa wa CAF. Mbona swala hili liko wazi tu.Kwanini watu mnapenda kuchafua hewa humu jukwaani?
mkuu...

hakuna aliyeanzisha uzi huu kwa lengo la kuilenga Klabu pendwa ya Mtaa wa Msimbazi pale yaani Simba SC.

Taarifa zilizopo ni kwamba Mamelodi Sundown inakuja kucheza na Timu zote Kongwe 2 za hapa Tanzania. Tunachokijadili hapa ni kwanini waje na ratiba yao ya kucheza mech za kirafiki katika ya msimu ambapoligi yetu pendwa inaendelea? ...kwanini tulazimike kutengua ratiba ya ligi Kuu ili kupisha mechi hizo za kirafiki?

Je kipi ni cha muhimu zaidi kati ya LigiKuu na Mechi za kirafiki...?

ni hayo tu !
 
Wakati sisi tunajiuliza ligi kuu vs friend mech kipi bora?mwenzetu malinzi anajiuliza kati ya ligi kuu vs viingilio kipi bora?
 
Hamna ubaya ila ao mabingwa wacheze na hata timu 2 za chini pia si simba,yanga na azam tu
 
Wanataka kututia aibu

Hii niaibu kubwa sana Mkuu!

nadhani hata wao wameona jinsi gani tulivyo wajinga........kuwa tayari kusimamisha Ligi kuruhusu mechi ya k
irafiki ichezwe.!

Huu upuuzi sijawahi kuuona kokote kule!
 
Hamna ubaya ila ao mabingwa wacheze na hata timu 2 za chini pia si simba,yanga na azam tu
Tunasema kucheza mechi ya Kirafiki sio haramu..

Tatizo ni nyakati gani za kucheza hizo mechi za kirafiki?

kwanini ligi isimame ili tu kupisha mechi za kirafiki....? kwanini mechi za kirafiki zisichezwe wakati ligi imesimama au imeisha?
 
Azam walipigiwa kelele sana mwaka jana akiwemo Manara pia
 
Yanga wanamechi ya KLABU BINGWA Afrika dhidi ya NGAYA FC tarehe 10 Feb marudiano tarehe 17 Feb... Mechi ya simba na Yanga ilikuwa tarehe 18 Feb... Ulitaka wacheza 17 na 18 wacheze tena!!!!... Mechi haijahairishwa eti sababu mamelodi.... Acha upotoshaji
 

ni kweli mkuu!

ila sehemu kubwa ya Maamuzi ya kushiriki kwenye mechi hizo za kirafiki ipo kwa vilabu! Ni vyema vilabu vikazingatia na kuvipa kipaumbele ratiba yake ya msingi.
Kabisa aisee...
 
Kuhusu ratiba ya mzunguko wa pili, Manara alisema kama haitabadilishwa ndani ya mwezi mmoja toka ianze atatembea uchi kutoka ofisi za EFM mpaka wapi sikumbuki vizuri.
Manara ana akili kuliko Malihizi!
 
Yanga wanamechi ya KLABU BINGWA Afrika dhidi ya NGAYA FC tarehe 10 Feb marudiano tarehe 17 Feb... Mechi ya simba na Yanga ilikuwa tarehe 18 Feb... Ulitaka wacheza 17 na 18 wacheze tena!!!!... Mechi haijahairishwa eti sababu mamelodi.... Acha upotoshaji



1. mechi na Ngaya De Mbe FC tar 10/02/2017..

2. tuna mechi na Stand United tar 7/02/2017..

3. wao wanataka techeze nao tar 5/02/2017..

Hapo sasa kama mpenzi wa soka hebu niambie ni ''sawa''.?
 
Back
Top Bottom