Kucheza mechi za kirafiki sio kosa ....KAMA VIPI HAO MAMELODI WACHEZE NA TIMU ZOOOOTE ZA LIGI! WHY KUSIMAMISHA LIGI KWAAJILI YA SIMBA NA YANGA TU?? HUU NI UDHALILISHAJI WA LIGI YETU
mkuu...Acheni maneno! Kwani simba kucheza na Mamelod ni kutafuta ubingwa wa CAF. Mbona swala hili liko wazi tu.Kwanini watu mnapenda kuchafua hewa humu jukwaani?
Tunasema kucheza mechi ya Kirafiki sio haramu..Hamna ubaya ila ao mabingwa wacheze na hata timu 2 za chini pia si simba,yanga na azam tu
Eti eenh? Si tukiwafunga sisi tunakuwa ndiyo mabingwa? Tutakataaje fursa kama hiyo? Watanzania wengine bhana!Hakuna tatizo, kucheza na bingwa wa vilabu barani, ni fursa
Kabisa aisee...
ni kweli mkuu!
ila sehemu kubwa ya Maamuzi ya kushiriki kwenye mechi hizo za kirafiki ipo kwa vilabu! Ni vyema vilabu vikazingatia na kuvipa kipaumbele ratiba yake ya msingi.
Manara ana akili kuliko Malihizi!Kuhusu ratiba ya mzunguko wa pili, Manara alisema kama haitabadilishwa ndani ya mwezi mmoja toka ianze atatembea uchi kutoka ofisi za EFM mpaka wapi sikumbuki vizuri.
Yanga wanamechi ya KLABU BINGWA Afrika dhidi ya NGAYA FC tarehe 10 Feb marudiano tarehe 17 Feb... Mechi ya simba na Yanga ilikuwa tarehe 18 Feb... Ulitaka wacheza 17 na 18 wacheze tena!!!!... Mechi haijahairishwa eti sababu mamelodi.... Acha upotoshaji