Naona siasa za Serikali ya Mapinduzi kwenye nchi ya Jamhuri

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Mambo mengi yanayoendelea kwasasa hapa Tanganyika yananikumbusha mbunge mmoja wa bunge la katiba aliyesema kuwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar haikupatikana kwenye karatasi.

Mwalimu Nyerere alipata uhuru wa Tanganyika kwenye karatasi tena bila damu na kwa kuandaliwa kabisa awe kiongozi. Smooth transitions of power toka kwa mkoloni kuja kwa Mwalimu.

Siasa zetu za Tanganyika mwaka huu zinaweza kuwa za serikali ya kimapinduzi tujiandae kisaikolojia kwa kufanya rejea ya siasa za wenzetu wa Zanzibar ili tujue tunasimama wapi!

Mwl Nyerere alisema kwa Katiba yetu ilivyo angetaka angekuwa dikteta hatari sana. Je waliopo wanataka au hawataki?
 
huenda ni mapinduzi ya kifikra lakini si vinginevyo gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom