Naona siku mbili hizi Johnthebaptist hujatupia thread hapa JF, kuna nini?

Naona siku mbili hizi Johnthebaptist hujatupia thread hapa JF, kuna nini?

Na panya road wamejichanganya, kuna wanaojifunza. Kuna mtu kanitonya maeneo ya Mbagala Kilungule kuna nyumba mbili wamevamia, hali ya familia humo maisha yao kawaida, sa sijui walifuata nini. Hizo nyumba zipo mtaa mmoja lakini hazikufuatana. Polisi nasikia wamekuja asubuhi tena wamesubiri jua liangaze kwanza.
 
Back
Top Bottom