Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

Kuchepuka sio dili sema tu wanawake hawasemi ukweli mwanaume ukiwa mchepukaji na mkeo akajua jua tu kuwa umekwisha lazima ke naye atalipiza kisasi pasipo we kujua na siku ukiona ameacha kuumia juu yako kuhusu uzinzi jua Ana michepuko mingi kuliko hata ww.
 
Hasira zake zinatokana na nini?
Ulioa kichaa tu akaamka na hasira ama umemvuruga?...na husemi hapa?

Kauli nzuri tu ni kwa sababu anajua anapendwa kuliko mwingine ama ni yeye tu jinsi alivyo?
Ila ni sisi tuu jamii yetu ndo tunaishi hivi na wanawake zetu...
Maana mwanamke siku zote toka zamani huwa haruhusiwi kumpangia mwanaume wala kumuingilia na ndo maana wanawake wengi waliishi na wanaume na kuolewa bila shida.
Ila sasa kilicho waponza siku hizi nii ya haki sawaa...Mwisho wa siku wanaachika na kujikuta wanalea watoto wenyewe na wengine kuwa wadangaji wakubwa pamoja na wadhifa zao za kazi.
Na hii nikuto kubali kufuata nature ya Mungu kuwa mwanamke utakuwa chini ya mwanaume.

Any way na ndomaana wengi wao wanaishia kuuza uchi na kutumika vibaya kwa kile cha kudai haki sawaa
 
By all means have 1 woman
Ukishindwa kuwa na wa2 and be fair to them na wote wajue..matunzo,status etc

Short of that,misery shall never leave ur home
Never
Ni suala la muda tui
Am respect my wife... I keep secret out of home love...
I think i can
 
Wala issue sio haki sawa
Mtu kuona uke wenza sio shida ni feminist huyo?..

Issue ni mwanaume hutendi haki kwa hao wanawake wawili afu unajinasibu huwezi kuwa na mmoja
Kumuelewa na kumfurahisha mmoja tu mtihani wawili utaweza?ndo mana ht wewe kunawaka moto
Hutendi haki
 
Ni wewe tu hujaamua kuishi kile ambacho nafsi yako inaamini
Na kama ni nature nini kinakushinda kuishi nature yako?.?

Ndoa za Serikali zipo nyingi sema hujaamua tu ama unachoweza ni kuchovya michepuko tu na sio majukumu rasmi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kuna mmoja lazima matokeo atapata tu
 
umeua kabisa [emoji419]
 
Wanaume tuna onja onja sana TAMAA nyingi..kuna demu flan(mke wa mtu)analiwa na mshkaj wangu na wanapendana balaa huwa tukiwa sehem na muuliza huyo shem wa mchongo kuwa ilikuaje ukajitoa sana kwa mshkaj mpk unamsahau mmeo akasema amekaa kwenye ndoa yake kwa miaka 5 hajawah kumcheat mme wake hata mara moja na hakuwa na wazo hilo ila alipo gundua mme wake anatoka na demu tena wapo jiran akasema hapo ndo uzalendo ulimshinda..alipochepuka one time kwa hasira akakuta hapo alipochepukia pako vzr analelewa na kupendwa kama mtoto na anapelekewa dudu la yuyu vzr akadata mazima na hampendi tena mmewe so haya mambo magumu sana
NB:mke akishtuka kama unachepuka akiwa na hasira juu yako ujue anakupenda na si ajabu hajaanza kuliwa nje ila ukiendelea kuchepuka halafu akagundua tena ila ukaona haja onyesha hasira zake jua teyar keshaanza kuliwa kwahyo anaona ngoma droo haimuumi
 
Ni wewe tu hujaamua kuishi kile ambacho nafsi yako inaamini
Na kama ni nature nini kinakushinda kuishi nature yako?.?

Ndoa za Serikali zipo nyingi sema hujaamua tu ama unachoweza ni kuchovya michepuko tu na sio majukumu rasmi
Come on Kate kuchovya ndio nature yenyewe hiyo tunayoishi ambayo nyinyi mnaipinga
 

Unaona sasa na mume hapo akijua ilo atajaa hasira kuhusu swala la mke wake kuchepuka wakati yeye ndio aliyesukuma ilo swala
 

Na huu ndio ukweriiiiii
 
ha ha ha ha nacheka
 
Kilichomponza ni kudhani anaweza furahisha wanawake 2

Ngoja na ye atoke
Ukute nyumbani show mbovu
 
If u really respected ur wife usingemsaliti

Ndo mana ht wewe unapenda asikusaliti

Hio siri ipo siku kitawaka moto
Iwe nyumba kubwa au ndogo
Ni suala la muda tu
We umetumwa kunivuruga nini...???
Mbona umekuwa kama hunielewi...???
 
We ulishawahi kuwa mke mwenza sehem...???

Wy you feel so sad at this case of polygamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…