Shida ni double standards, kuna kiongozi wa demo aliuawa na wao akina trump walikuwa wanashangilia tu na yeye trump anajifanya hamjui.So unaona ni jambo sahihi mfano kwa hapa Tanzania itokee kiongozi mfano wa CHADEMA,CUF au ACT amepatwa matatizo au kafariki halafu kiongozi wa serikalini aandike post mtandaoni kuwa anafurahia kifo cha huyo mtu na anaonyesha kutaka wafe au wauliwe wengine zaidi?
Hiyo kwako omekaa sawa,ni sehemu ya freedom of speech kuandika mambo ya kufedhehesha familia ya marehemu kwa kuwatusi na kuwakebehi kwa kunajisi jina la mpendwa wao ambae kauwawa kikatili bila hatia yoyote tena hadharani?🤔
Nadhani ifike muda tuanze kutumia akili badala ya hisia kwenye mambo ya msingi.
Mimi naunga mkono wanaharakati na serikali ya Trump kuwafukuza kazi na kuwaadhibu wote wanaofanya kebehi na dhihaka kwa kifo cha Charlie Kirk ambae hakuwa ni mtu mbaya kisheria ni vile tu maoni yake yake yalikinzana na upande wa Left wing Democrats ambao wanaendekeza mambo mengi ya kipuuzi kama ushoga, ubakaji, uhamiaji haramu, kutukuza na kuchekea wageni wanapodharau utamaduni wa Marekani, kupromote ngono kwa watoto na kupigia kampeni uhalali wa mafataki kulala na watoto wadogo wa kuanzia miezi hadi miaka 16.
Washenzi sana democrats.
Kwa kweli, Trump pamoja na ubabe wake, hajafikia tawala dhalimu kama za huku kwetu.
Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao
Zamani ilikuwa inasemekana kwamba Marekani unaweza kusema chochote ni freedom of speech, ila sasa serikali imewataka waajiri kwa mfano kuwafukuza watu walioonekana kushangilia kifo cha Charlie Kirk. Imetengenezwa tovuti ambapo yanawekwa majina ya watu walioongekana kufurahia kifo chake
Leo nimeona katangaza kuwa wako kwenye mpango wa kulabel wale wanaopinga Fascists kuwa nikundi cha kikagaidi jambo ambalo ni shambulio la moja kwa moja kwa Demos
Nimeona mkuu wa FBI ambavyo alikuwa anajibu hovyo na kuwakejeli members wa Congress. Yani mambo yanayoendelea ni kama sasa hivi Marekani hakuna tena checks and balance
Trump alianza kuwa haruhusu vyombo vya habari ambavyo vinamwandika vibaya kuingia kwenye press zake kitu ambacho kingefanywa na rais mwingine kama Obama kelele zingekuwa nyingi.
Ametishia kuwa New York kama wakimchagua mayor yule Mwislamu, hatapeleka pesa huko. Shambulio la demokrasia hili
Jana niliona mwandishi mmoja wa Australia anamuuliza vipi kuhusu tuhuma za yeye kufanya biashara ikulu, akamuuliza wewe unatoka wapi? Jamaa akamjibu Australia. Akamwambia unajua kiongoozi wako anakuja kuniona, unapaswa kuhakikisha mko vizuri na mimi, nitamwambia kiongozi wako kuhusu wewe.
Ingelikuwa zamani hii ingekuwa bonge la topic ila kwa trumo ni kama kila chombo kimepigwa ganzi.
Inavyoonekana kuna mpasuko mkubwa sana, hadi watu wanatangaziana vita mtandaoni kati ya lefts and right na wanatishiana hadi kuuana
Hajauwawa na kundi la kigaidi, ni mtu mmoja.Tiwe w
Kwa kweli, Trump pamoja na ubabe wake, hajafikia tawala dhalimu kama za huku kwetu.
Utawala wa Trump haujawahi kuteka na kuua watu au kuwapoteza kama unavyofanya utawala wa mama. Wala haujawahi kumbambikia kesi kama unavyofanya utawala wa mama dhidi ya Lisu.
Trump ni mbabe wa maneno tu, na hiyo ndiyo siasa yenyewe, watu wanabishama kwa hoja.
Hilo kundi lililomwua Kirk, hata likiitwa la kigaidi ni sawa tu. Maana ya ugaidi, ni kufanya vitu vya mauaji ili kuwatisha watu fulani. Washindani wake walistahili kushindana naye kwa hoja, na siyo kumwua.
Mkuu si mbabe wa maneno tu, anawashughulikia, wanafutwa kazi, wanakamatwa. Sasa hivi katika utawala wa trump unaweeza kuwa una green card ikawa cancelled kwa post yako tu. Watu wamepoteza uhalali wa kuishi Marekani kwa post zao za kuonyesha wako upande mwingine.Tiwe w
Kwa kweli, Trump pamoja na ubabe wake, hajafikia tawala dhalimu kama za huku kwetu.
Utawala wa Trump haujawahi kuteka na kuua watu au kuwapoteza kama unavyofanya utawala wa mama. Wala haujawahi kumbambikia kesi kama unavyofanya utawala wa mama dhidi ya Lisu.
Trump ni mbabe wa maneno tu, na hiyo ndiyo siasa yenyewe, watu wanabishama kwa hoja.
Hilo kundi lililomwua Kirk, hata likiitwa la kigaidi ni sawa tu. Maana ya ugaidi, ni kufanya vitu vya mauaji ili kuwatisha watu fulani. Washindani wake walistahili kushindana naye kwa hoja, na siyo kumwua.