KERO Naona tuko kwenye mgao mkali wa umeme Kimara kuanzia Stop Over

KERO Naona tuko kwenye mgao mkali wa umeme Kimara kuanzia Stop Over

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
 
Kila siku umeme unakata asubuhi unawaja saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwa nini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
Aisee Hali imeanza kuwa tete.
 
Back
Top Bottom