Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

🀣🀣🀣🀣🀣Dah,si utakuta limejaa mavumbi Sana?au linaogeshwaga?
Hahaha..
Inaweza kuwa na packaging nzuri kama ya simu ambayo haiingizi vumbi.
Usicheze na genye bhana, watu watapata maarifa tu😁
 
Utapata wafuasi kibao,Hawa pasua kichwa wanaoshindwa kumudu kumpa Mwanamke hata laki moja eti Leo wanajifanya watamiliki midoli ya dola 3000,si uongo tu huo.😒
Ngoja sisi tupambane na kina Joannah tupate utam na ladha halisi bwana wee😁
 
Robot haombi ombi pesa kifala,
 
Kwanza serikali sikivu ya mama Samia hairuhusu kuingiza nchini vitu vya ajabu ajabu ambavyo vitaua nguvu kazi ya taifa...maana vijana wa hivyo watakuwa wanajifungia chumbani 24/7
Kama madawa ambayo ni hatari yanapita sembuse hawa viburudisho ambao watarudisha amani katika mioyo ya wanaume wote.

Tupo tayari hata kuchangiana ili kila mwanaume apate lake.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
I
Ila mwamba ninavyokujua unavyolaumu kuombwa hata elf 30,hivi mdoli alivyo expensive utamuweza kumnunua kweli?hapo ndio utawakumbuka kina siyawezi na sikujua wa vizinga vya pesa ya madafu sio dola
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa tutanunua maana ni life assurance tutauza viwanja na mashamba na kukopa benki hela itapatikana ya kununua. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hadi anawowo To yeye umeona mama kazi kwako
 
Hizo ni setting tu. Uterezi, katerero, kufinyia, joto na story. Zote ni setting.
 
Yaani limekojolewa ulaya weee ndio ulichukue?achana nalo halijui kuoga mtafute mwanaidi wa buza anajua kuoga vizuri kutoa janaba...mchawi maji tu
Bora hili ukienda nunua hata unaweza jua nani na nani wamelikojolea utaambiwa na anayekuuzia.

Hawa chuma ulete tunaokutana nao unaweza shangaa hata mshua amepita nae kamkojolea miksa na ndugu na marafiki na ngoma imetanuka. Ila huyu mdoli silicone haiwezi tanuka hata ipigwe mashine size ya mguu wa mtoto.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…