Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Robot hajihusishi na mikopo ya kausha damu kama hawa chuma ulete halafu wanakaa kukununia utadhani mlikopa wote au ulimtuma akakope.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tumelalamika sana hawa viumbe badala ya kutusitiri wanatumia maumivu yetu kutu blackmail kwamba tuchague kulipia sex ama tuteseke.

Sasa wanaume tumeona famililahi.... Kama tumeweza kutengeza computer tushindwe tengeneza chombo cha starehe bila sifa zingine ambazo hatuzihitaji?! Alaaaaah

Robot hao wapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kutoa uzazi tu labda mengine yote hapo yuko vizuri mara mbili ya nyie.
Kuhusu uzazi haina shida tutalea wajomba na hata wapo wanawake watazaa na sisi then tutalea watoto wenyewe. Tutaongea na Elon Musk atutengenezee roboti linaloweza nyonyesha.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kama madawa ambayo ni hatari yanapita sembuse hawa viburudisho ambao watarudisha amani katika mioyo ya wanaume wote.

Tupo tayari hata kuchangiana ili kila mwanaume apate lake.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kuna wenzenu hawayataki hayo ma wanasesere yenu,mjichangie wenyewe mnaopenda kukaa na misukule Daaah we jamaa ni vile huwezi li afford kulinunua,Ila lingekuwa linauzwa laki Kama Yale ya kitundikia nguo kkoo nadhani lazima ungejipatia moja🙆🙆
 
Mbona nyie mnatumie vibrator na artificial penis. Mlitaka haki sawa mmezipata
 
Kaka watu wengi watayanunua maana ni mbadala wa nyeto pia itaovercome changamoto zinazoletwa na madem zetu!


Wadada wanaoishi kwa kutegemea Hela za wanaume hapa mjini watarudi kijijini uyole
Huko Japan nasikia kimenuka, yule jamaa anayoyatengeneza anapokea simu za vitisho toka kwa wanawake wa huko maana wanaume wameweka order kama wananunua magari.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Roboti anachepuka na anatunza siri milele, bora sie tukibanwa tunasema.
 
Utapata wafuasi kibao,Hawa pasua kichwa wanaoshindwa kumudu kumpa Mwanamke hata laki moja eti Leo wanajifanya watamiliki midoli ya dola 3000,si uongo tu huo.[emoji22]
Tukilipa hiyo Dollar 3000 ndio hatulipi tena Milele hadi uzeeni.

Mbona magari tunalipia zaidi ya dollar 10,000 tushindwe lipia dollar 3000.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…