Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuchukuliwa waume zetu mchezo? Avengers watutolee movie moja Kali sana,bifu Kati ya robot na binadamu kugombania mume....
Sterling Angelina Jolie,mume Idris Alba au Will Smith na lirobot limoja Angelina alivunjevunje mwisho wa movie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Habari nyingi mtandaoni zinazomhusu Elon Musk, ni hoaxes. Zinatengenezwa na wazushi kwa msaada wa Artificial intelligence. Hii ni pamoja na stories za kujenga hotel kitalii kule sayari ya Mars na pia uzushi kuhusu kutengenezwa kwa robot wives. Of course stories za namna hii ni sensational na watu wengi wanazipenda, lakini ni za uongo.
Dah Bora umekuja,kuwaeleza Hawa kina Ngoswe maana wanayangojea kwa hamu japo hawayamudu...kumbe stori zenyewe za Eloni ni ugaigai?😁😁😁
 
🤣🤣🤣🤣Kuchukuliwa waume zetu mchezo? Avengers watutolee movie moja Kali sana,bifu Kati ya robot na binadamu kugombania mume....
Sterling Angelina Jolie,mume Idris Alba au Will Smith na lirobot limoja Angelina alivunjevunje mwisho wa movie
Umefikiria sana inaelekea hili suala la hayo marobot limewagusa 😂😂😂 dah! Mnaonea wivu hadi hao😂😂😂
 
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:

1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu

NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
Robot ndiyo direction.
Nyie tunawaacheni muendelee na harakati za kumkomboa Mwanamke na kujikomboa kiuchumi.
Hivyo vyote ulivyosema robot hatoi umedanganywa, vyote vimezingatiwa tena vya ubora wa kale ambao hata nyie mlishaupoteza kitambo.
Kwa sasa robot inaweza kuwa bei ila baada ya muda zitakuwa kama simu za tekno tu
 
Dah Bora umekuja,kuwaeleza Hawa kina Ngoswe maana wanayangojea kwa hamu japo hawayamudu...kumbe stori zenyewe za Eloni ni ugaigai?😁😁😁

Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:

1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana katerero
3.Robot hajui kuifinyia ndani
4.Robot hana joto asilia
5.Robot hana story za udaku Usiku kupiga na mumewe
Mengine wataongezea wanawake wenzangu

NB:Mwanadamu ni mwanadamu tu Yaan hafananishwi jaman
6.Mdoli anakubali hadi kibamia😉😉
 
Tumechoka na mizinga yenu , Elon katusikia wanyonge
Mwamba anaenda kuwa baba mkwe wa watanzania wengi
R.png
 
Back
Top Bottom