Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

mumeaahau na kingne robot halichoki n wala halikupangii, wew n kupeleka moto tu ,nyie wadada jau n munasumbua sana unakuta ki1 tu anakwmbia hataki tena kachoka
😳Kwa dudu ipi? Hiyo Kwa a vatar?
 
Roboti hali kwaiyo garama za kula na nguo sio muhimu ye ata akishinda uchi wiki nzima ni sawa tu ilimrad awe msafi sasa nyie mara cjui ela ya nywele cjui outing na mkishaanza kuongea vingereza ndo mnataka pesa nyingi nyie eeh
🤣🤣🤣🤣🙄
 
Robot ndiyo direction.
Nyie tunawaacheni muendelee na harakati za kumkomboa Mwanamke na kujikomboa kiuchumi.
Hivyo vyote ulivyosema robot hatoi umedanganywa, vyote vimezingatiwa tena vya ubora wa kale ambao hata nyie mlishaupoteza kitambo.
Kwa sasa robot inaweza kuwa bei ila baada ya muda zitakuwa kama simu za tekno tu
Una uhakika?
 
Yaani tulionee wivu lidude hata kurembua tu haliwezi?lidude hata ulinyweshwe wine halijui kujichetua khaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤸
 
Nashangaa mnawaza tu ngono,
Mmefikiria kuhusu nani atawaongezea uzao wenu..?
Nani atawalelea hao watoto.?
Nani watakuwa washauri na wafariji wenu hasa mkiwa mnapita katika vipindi vigumu..?
ain't any way hiyo midoli could turn your house into a home..!!
ain't no way midoli could cook your favourite food,
Could nurture you, could clean and could support and inspire you to be a better men..!
Kila mtu huwa anatamani kuwa na mtu anayempenda kwa dhati, who could love you better..??
Mkiumwa who will be there for you..? Ukute ndiyo ile hoi mpaka unajipupia kwa bed..!!🙌

Na kubwa zaidi nani atasimama nanyi katika Maombi, nani atalia na kufunga kwa ajili yenu..??

Mac Alpho
That's my lovely little PP😊.

Licha ya chagamoto nyingi za kimahusiano zinazotukabili katika kizazi hiki, haiondoi ukweli kuwa kila nafsi inatamani kupata na kuwa karibu ya mtu fulani ambae watathaminiana katika hali zote.

Kwakua sio kitu chepesi kufanikisha hilo, hasira hufanya wengi wafikiriie the only option ni kutafuta namna ya kukwepa hiyo mishale ya harakati za trying & erros kimahusiano.
 
Faida mbona hatupati. Nguo tunafuliwa na house girls au dobi, chakula kizuri siku hizi tunapata migahawani, usafi tunafanyiwa na hata watu wa usafi unatoa tu 20,000 wanasafika kila sehemu nyumba nzima.

Game ndio hivyo tunapewa ila kwa masharti hadi inabidi tukanunue huko kona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile ap
Kwa hayo unayopitia ukienda kwa mwanasesere wa Elon sio mbaya ila sisi wengine tunawafanyia waume zetu hayo yote na hapa kaniambia nisiwe na hofu hakuna mdoli awezae kuchukua nafasi yangu
 
Seems hili swala la mwanamke roboti linataka kuwakosesha amani na furaha dada zetu, mpaka kufikia hatua mmeanza kulianzishia nyuzi [emoji4]
 
Ila on a serious note;

Hakuna roboti la kike linatengenezwa hizi ni propaganda na hizo picha zote mnazoziona ni AI generated. Elon Musk hatengenezi maroboti ya kike.

Binafsi naamini haiwezekani kabisa ku-replace mwanamke, itakua ngumu sana ku-replace vitu vyenu vyote
Kabisa mkuu.
Mim mamidole yapo siku nyingi na kama Elon anatengeneza ya kwake yatakua advamced tu ila 100% sure hayawezi kuchukua nafasi ya mwanamke.
Kwanza kila mwanamke kaumbwa tofauti na wanawake wengine na wakati huo huo kila mwanamke kafanana na wanawake wengine wote kwa namna moja au nyingine.

Wanaume watakaokata connecttion na wanawake baada ya muda fulani watapata changamoto za kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom