Clepatina
JF-Expert Member
- Apr 8, 2023
- 1,266
- 2,577
🤣🤣🤣Achana nao bhana,dudu zenyewe za kufanyia wanazo?
Wanalipendea vile litawafichia siri🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Achana nao bhana,dudu zenyewe za kufanyia wanazo?
Siku hizi wamapima kwa scannerShauri yako, najua unajua vile vipimo vya tezi dume vilivyo vigumu,usijesema da Joannah hakunambia[emoji4]
Kuna sehemu ukibonyeza anarembua.Yaani tulionee wivu lidude hata kurembua tu haliwezi?lidude hata ulinyweshwe wine halijui kujichetua khaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hii ndio raha yake sisi hatuna haja tena ya kukaa kifuani masaa kumfurahisha mtu. Ni dakika 10 kama kuku. Na tunamaliza bila lawama.Likojoe wapi? Mbwembwe tu
Kampeni mpya hii 😂😂.Kataa Mizinga
Kataa Gono
Kubali Roboti
Mmoja atalinunua atatukodishia tusio na helaBado sana, kwanza hela zenyewe za kununulia hawana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umetisha
Anakuzuga ila lazima achukue mzigo.Kwa hayo unayopitia ukienda kwa mwanasesere wa Elon sio mbaya ila sisi wengine tunawafanyia waume zetu hayo yote na hapa kaniambia nisiwe na hofu hakuna mdoli awezae kuchukua nafasi yangu
😊😊🤣🤣🤣🤣🤣🙌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetisha
Niliona hili habari cnn, ifikapo mwaka 2030 wataalamu wa maswala ya mahusiano wanasema asilimia 45 ya wanawake walio kwenye umri (25-44) watakuwa single bila watotoMbona babu zenu hawakuwa Kama ninyi?Bibi zetu walihudumiwa kwa Raha mustarehe Bila masimango....kuombwa hela Leo na kesho ni kuongezea kwa majukumu
Aisee🤣🤣Na hii ndio raha yake sisi hatuna haja tena ya kukaa kifuani masaa kumfurahisha mtu. Ni dakika 10 kama kuku. Na tunamaliza bila lawama.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
81%Una uhakika?
duh hatari sana ,mwanamke amebaki hana thaman tena, labda amebakiwa na thamani ya kuzaa tu. sababu ya kuendekeza hawa mashoga,italia imejikuta ina uhaba wa watoto.Tena sasa mashoga wameamua kujiboresha wanakwenda kujiupgrade maungo yao wanaweka breast implants na kujitengeneza wanakuwa 99% wanawake kasoro dicks tu.
Akisimama hapa ukaambiwa huyu ni mwanaume by nature utakataa. Hebu jionee mwenyewe. Huyu unaambiwa ni mwanaume utakubali vipi hapo na akikutaka unachomoaje kwa mfano?!
Sasa huyu ndio competition ya wanawake wa sasa. View attachment 2638596View attachment 2638595
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app